Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1

China imejaa wawekezaji lakini katiba haina uhuru wa habari wala wa vyama vya siasa.

Hoja kwamba wawekezaji hawawezi kuja kisa hakuna uhuru wa habari ama vyama vya siasa ni hoja ya kitaahira kabisa na inasemwa na watu wasio na akili kabisa.
Huelewi kitu.

Mimi nimekuwa nikifanya na multinational companies. Na moja ya shughuli zangu ilikuwa kushauri kamouni, nchi za kuwekeza. Kuna vigezo vingi lakini kimojawapo ni utawala wa sheria.

China, mfumo wa uongozi hauna demokrasia za kimagharibi lakini ndani ya Serikali na chama cha Kikomunisti, kuna utiifu wa hali ya juu katika kufuata sheria.

Sheria yao ya uwekezaji ni madhubuti hasa. Kiongozi mkuu wa nchi hana uwezo wa kubadilisha hata aya moja. Ili kubadilisha kitu, ni lazima mchakato wake upitie hatua nyingi.

Tanzania ni nchi holela. Sheria inaweza kuwa inatoa haki fulani, lakini Rais anajiropokea anachokitaka, na hakuna wa kuhoji. Nchi kama hiyo, mwekezaji makini hawezi kuwekeza. Unawekeza kwa kuangalia sheria, halafu Rais kwa kauli ya dakika moja tu anabadilisha kila kitu, na hakuna wa kuhoji. Nchi ya namna ulinachochea uchuuzi na siyo uwekezaji.
 
Si ni jembe lenu hili na mlimmiss sana mkawa mnatamani arudi awe rais?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado kunena kwa lugha kunaendelea hadi mshike adabu
Hahahaha walimiss sana kumaniner zao😂😂😂 amerudi kivingine
 
Mkuu tatizo la chadema ndio hili,majibu mepesi mepesi.KIFO kipo tu hata SAMIA akifa ila MFUMO utabaki.ADUI yenu nyinyi sio SAMIA wala MAGUFULI,kama mnavyojieleza adui yenu ni MFUMO,na ndio mnatakiwa mjikite huko
ni nani aliwahi kuiua chadema ?
 
Karibu kwenye Katiba Day
 
Shindeni uchaguzi mfanye mnavyotaka,

Hamuwezi tumia serikali ya chama kingine kutimiza matakwa yenu.

Uliwahi kuona hili likitokea wapi??
 
Ubarikiwe sana
 
Chadema ubongo wenu nahisi upo mgongoni au kwenye makalio kabisa.
Hivi kila tulivyokuwa tunawaonya kutowaona viongozi waliopo ccm kama wakombozi wenu mlijibu nini?

Kwa taarifa yenu SAMIA anaiua chadema KIAKILI bila maumivu

Hivi Chadema unaowaongelea mnakutana nao wapi?


Kama ni hao hakuna shaka akili zenu zitakuwa mgongoni au kwenye makalio.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Cc: BAK, Erythrocyte, Extrovert
 
Umerudi mle mle kukubaliana na mimi kwamba uhuru wa vyama vya siasa ama uhuru wa vyombo vya habari sio msingi wakuvutia wawekezaji bali ni sheria nzuri kama ilivyo China.

Wapiga kelele wetu hapa Tanzania hawaongelei sheria bora za kuvutia wawekezaji, wao wanapiga kelele kuhusu uhuru wa kufanya siasa na vyombo vya habari kama vile ndio msingi ama kivutio cha wawekezaji.

Najua wawekezaji wahitaji mfumo wa kisheria unaoaminika, unaitabirika na himilivu, sio uhuru wa vyama vya siasa sijui mikutano na maandamano siku nzima siku 7 za wiki.

Nakubaliana na wewe kwenye hoja kwamba sheria zetu zina shida kwenye uwekezaji na sio kwa sababu ya sheria za uhuru wa vyama vya siasa ama vyombo vya habari. Uarabuni huko hakuna vyama vingi wala uhuru wa habari lakini wawekezaji wamejaa.

Hoja yangu ilikua hiyo.
 
Mi hushawishika sana na kiwango cha madarasa mtu aliyopitia. Ndo maana ya elimu; kuweza kufikiri na kubuni utatuzi. Nikishasikia mtu mwenye mpangilio mbovu wa elimu sikupi nafasi.
Nawe nakushangaa maana ni shabiki wa Mbowe kwa miaka yote wakati ukifahamu hana taaluma.
 
Wakati naunga mkono upatikanaji wa katiba bora na si katiba mpya, napinga wazi wazi huu mkondo wanaochukua CHADEMA wa kumshinikiza mama aache kutekeleza agenda zake ahamie kwenye katiba inayotakiwa na wao.

Mama kawafanyia mengi kwa muda mfupi wanaona wamepata mteremko. Kumbuka mkimshinikiza sana atachukua mkondo wa Mtangulizi wake na wahanga mtakuwa nyie!!
 
Karibu kwenye Katiba Day

Nitakuwapo mkuu in person kuhesabika na kuhimiza busara kutamalaki.

Bottom line: Tunahitaji mchakato wa katiba mpya kurejelewa. Preferably kwa amani:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…