Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

Naipenda sana JF na kuiheshimu JF. JamiiForums ni sehemu ya maisha yangu
Nikiionaga Profile picture yako hua nacheka sana....Kuna muvi moja ya kina-igeria jamaa anaenda kuwanga akaacha mwili wanazengo wakabeba mwili kwenda kuzika....hahahhaha....jamaa anarudi kuwanga anakuta wanazengo wanaenda kufukia mwili wake.....hahahha ilikua balaaaa
 
Tunaoshinda mmu tunakutana na mzabzab Mzee wa kupambania Analyse
 
Tunaoshinda mmu tunakutana na mzabzab Mzee wa kupambania Analyse
Pia huko kuna connection zake kaa utulie .....unaweza kutana na urithi wa ma B kadhaaa..

Kama proffessional yako ni MMU wekeza ipasavyo haita kuangusha nakwambia ukweli.....hahahah

Kuna vijana wanacheza kata funua kwa ma shangazi na wanapiga nyingi sana....

Akili yako mtaji wako.....
 
Hii ni profession ya DeepPond kaka mkubwa😀
 
Mimi nilisha muokoa shangazi mmoja alikua anaenda kupigwa pesa za mkopo wa nyumba ghorofa moja na pesa za mkopo wa mshahara....

Na aliekua anaenda kumpiga ni kijana mdogo tu wa miaka 28....hahahaaa...

So kuna vijana wako serious na MMU zao
 
Vijana wa MMU ni hatari kuliko Bomu ...Nimeishuhudia hii shangazi mmoja kapigwa Milion kadhaa na jamaa kawa anasubiri hizo za mikopo....

Na shangzi mwenyewe ni Mwanajeshi hadi leo yule mwanajeshi baada ya kunusurika kaokoka MMU ni viumbe wa hatari zaidi....hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…