Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwel jamii sio watu wengi wanaijua..Ila pia ni sample sio kama raia wengine kati ya watu 10 utakaouliza kama wanaijua JF nakuhakikishia below 4 watasema wanaijua....
Make the survey without bias utaniambia...
Sawakta kuna roho safi sana humu.. cheers!🤛jF imenipa michongo ya kusogeza siku pale Mambo yalipokuwa magumu.
Kuna watu wema huku hatujawahi hata kuonana lakini anakupa michongo miwili mitatu ,unaweka msosi juu ya meza.
Hahaaa😄😄😄👍Wengine tumepata mbususu humu, long live jf
Bado JF Ina watu wema.Sawakta kuna roho safi sana humu.. cheers!🤛
Jamaa mwenyewe anaitwa Agumba,Nikiionaga Profile picture yako hua nacheka sana....Kuna muvi moja ya kina-igeria jamaa anaenda kuwanga akaacha mwili wanazengo wakabeba mwili kwenda kuzika....hahahhaha....jamaa anarudi kuwanga anakuta wanazengo wanaenda kufukia mwili wake.....hahahha ilikua balaaaa
mama kama mama.Mi sitarajii chochote zaidi ya kuburudika
HahaaaaJamaa mwenyewe anaitwa Agumba,
usiombe msaada...persent you proffesional or your experience!Me huwa naogopa kuomba msaada humu,sijui kwanini?
Ila hii ni kabla ya mama 10 yrs back mkuu😄mama kama mama.
kazi iendelee
Yes Jamii forums ni kama any social network ....it give you back what you have invested of....Mkuu mimi ni shuhuda wa hili ulisemalo.
Kupitia stori zangu nimesaini dili na watu wa SWAHILI FLIX ambalo naweza kusema angalau limenipa maisha.
Naamini kuna mambo makubwa sana yanakuja.
Naishukuru sana JF kwasababu bila wao pengine nisingeonekana na hao jamaa,Mungu ni mkubwa sana.
Na kijiwe chetu pendwa ni MMU 😀
we hujui kama huy ndo bi mkubwa?Ila hii ni kabla ya mama 10 yrs back mkuu😄
Hahahahawe hujui kama huy ndo bi mkubwa?
Haha ivi za humu zina ladha kweli sababu naona watu wote wa humu wako serious sana...inawezeka na hata hawakumbuki vitu hivyo....au ni mm tu nafanya over rated...😄Wengine tumepata mbususu humu, long live jf