Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

Cha kuongezea:

Tupunguze matarajio makubwa sn ndani ya jf, wanajf Ni raia tu Kama wa mtaani
Yes but wengi wanaitofautisha Jf na mitandao mingine,wengi ambao wanaiona na kuijua JF wanaona kama chimbo la madini,JF ina vichwa vyake JF ni jamii ya watu wale ambao unatamani kuwaona siku moja.,.hahahah ukweli nakwambia......
 
Kwa upande wangu jf ni uwanja wa kupata habari na burudani; hayo mengine siyategemei sana.
 
These people (CCM) must change, CCM should not be a refuge for the wicked, it should be a clean party like it was during the time of Mwalimu, We know there is clean people in the party, but they have been swallowed up by a lot of corrupt and greedy people, this is dangerous for the nation because CCM is the ruled party
 
One of Minority to seek possibilty from impososibility...May God bless you....ONE DAY YES!
 
Kwa upande wangu jf ni uwanja wa kupata habari na burudani; hayo mengine siyategemei sana.
Matumizi ya kitu ndio hujenga matokeo....


Habari hujenga habari...
Ufundi hujenga ufundi
Utaalamu hujenga utaalamu...

JF ni uwanja mpana cheza kwa upendo wako....
 
Naunga mkono hoja ya kujielimisha, kujitambua unasimamia wapi, halafu kuchangia kutokana na msimamo wako bila ya kujali jamii itakuona vipi, as long as unajua unachosimamia.
 
Naunga mkono hoja ya kujielimisha, kujitambua unasimamia wapi, halafu kuchangia kutokana na msimamo wako bila ya kujali jamii itakuona vipi, as long as unajua unachosimamia.
Ni kweli simama wewe kama wewe kwasababu hakuna mtu kama wewe.....

Ndoto zako ni za wewe si za yule hakuna matokeo ya kidunia ya wote... pale unapopata matokeo ya kidunia ni ya kipekee kwako japo yana manufaa kwa wengi...
 
Watu wana hesabu kali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…