Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

[emoji120]
KRISTO YESU alifundisha kwenye kitabu cha Mathayo 5:13 akisema, ninyi ni chumvi ya dunia.
Tena akasema kwenye, Marko 9:49-50 kwamba kila mtu atatiwa chumvi kwa Moto.
Akasema, chumvi ni njema, muwe na chumvi ndani yenu, mkakae kwa amani ninyi kwa ninyi.
Alafu akarudia tena kwenye kitabu cha Luka 14:34 akasema , Chumvi ni kitu chema.
Tena Hesabu 18:19
Lawi 2:13

Lakini kufanya toba na kusamehee ni muhimu .

Sent from my KIW-L24 using JamiiForums mobile app
 
Hata hii kila anayefungua nawaangalia tu cz ndio njia yangu ya home, akifungua mtu hapo hamalizi miez miwili anakuwa kafunga,
Sikuomba siku moja nilikuwa napita namwaga kidogo tu, hapo nahakikisha home nimeombea kwa mistari ya kutosha na damu ya Yesu ya kutosha na nimejiwekea ulinzi kabla sijaenda cz sio kila kona unavamia.
 
Heri ya sikukuu dada.... Unapotea mno huku wakati unaelewa uwepo wako unahitajika mno
 
Lakini hii sea salt hawa majini wengi wao wanaishi kwenye sea inakuaje chumvi usiwaletee noma humo humo majini
Hawaishi majini bali makao yao ni chini ya bahari... Vile vile tofautisha wachawi na majini

Jr[emoji769]
 
Chumvi pekee ama lazma uchanganye na olive oil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…