Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
hahah watu wana mbinu hatari sana za kuongeza kipato, watakunywa sana mkojo shubaaamitHuyo ananiacha hoi amewaambia mkojo unamrudisha aliekuacha au unamsahau wadada wanakunywaa mkojo kama hawana akir nzur sasa nimeona somo la chumvi na mshumaa [emoji23][emoji23]jaman jaman na bado wanaingia kwa kiingilio mwez mmoja elfu 5000/=dunia hii jaman