Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Yeahmafuta ya mzeituni ni olive oil?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeahmafuta ya mzeituni ni olive oil?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]So huyu ndio mshirikina hahaha cc MziziMkavu
Mkuu ni cc kama umetua mzigo wa chumvi...ktk post hii.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
Bora wewe mkuu ukijibu,huwa unatoa mantiki,ubarikiwe.Ni kweli kabisa na hata bwana Yesu aliitumia sana kutakasa lakini maranyingi ni chumvi ya mabonge
Nachanganya chumvi ya mabonge na olive kwenye maji then naoga nikinuiza. Okay asanteIna matokeo mazuri kutokana na imani yako kwenye manuizi
Wengi wamefanikisha na kukwamuka hasa kwenye kuuza nyumba viwanja nk....hata katika mahusiano pia na ndoa zinazolegalega
Mafuta ya mzeituni hung'arisha
Chumvi huleta ladha....
Kwahiyo manuizi yako lazima yalenge huko
Haya mafuta ya zaituni yanapatikana maduka gani niyawah kabl hayapanda beiSahihi kabisa
Chumvi ya kuondoa mikosi nikufanya Kazi kwa bidii uku ukimuomba Mungu yani utashangaaHeshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
Yapo tu kwenye masoko na maduka ya kawaidaHaya mafuta ya zaituni yanapatikana maduka gani niyawah kabl hayapanda bei
Ulizia mafuta ya olive oil ndo utapata kwa urahis zaidHaya mafuta ya zaituni yanapatikana maduka gani niyawah kabl hayapanda bei
kama mwenzako ni punguani wewe ni nani labda mpiga deki .Siku hizi na yeye huyo punguani mwengine eti na yeye anajiita "Dr." MziziMkavu.
Nilimuuliza huo u "Doctor" kaupatapataje? hajajibu hadi leo hii.
***Nimeoteshwa huu Uzi wengi wamefanya majaribio hata wale waliowaita wenzao Washirikina.