Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Labda kweli maana nilishaenda kusalimia sehemu ilipofika usiku bundi wakawa wanalia sana juu ya ile nyumba basi wenye mji wakatoa jiko nje wakaweka chumvi kwenye moto ikawa inalia kama baruti flan hv baada yapo ckusikia bundi mpk naondoka
aise
 
Kanisa Katoliki tunatumia chumvi na kuchanganya na maji...Mchanganyiko huo unabarikiwa kwa kutamka sala maalum..Tukitumia rehea ya maandiko pale Elisha alipochanganya maji na chumvi na kuponya miscariage na pooza...

Haya ndio tunaita maji ya Baraka.....Ni karne na karne Ritual hii ilifanyika mpaka leo
 
Watu wengi huwa hawafamu kitu
Kinaitwa imani kama unaamini inafanya hivyo
basi huwa hivyo hivyo.
Kama huamini basi haiwezi kuwa
na hii ndio hutokea pia katika uponyaji wa Yesu Kristo
kama unaamini Yesu anaponya basi atakuponya
Kama imani yako ni ya kusita sita basi ni dhahiri hutopona
 
Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
Usicheze na chumvi inaondowa mikosi, chumvi unaweza kumfukuza mtu asiweze kuja tena nyumbani kwako chumvi inaleta baraka kwenye nyumba au sehemu ya biashara chumvi ina siri kubwa sana mambo mengine siwezi kusema lakini chumvi iwe ni chumvi ya mawe sio chumvi ya unga.

SALT.jpg
 
MziziMkavu hajanikosa kitu.

Hivi nikimpa mtu darsa wewe unadhani amenikosea? Dhanna hiyo ni ya mapunguani tu.

Hao unaowaona wanajipachika u "Doctor" wasionao ndiyo haohao mapunguani tu.

U "Doctor" amma usome amma iwe tuzo ya kiheshima lakini si kujipachika tu mwenyewe.
Hivi maana ya punguani ni nini?
 
Kuna baadhi ya shida katika maisha utatuzi wake sio kwa waganga wa kienyeji ambako mara nyingi hukuacha na maagano
Kwahiyo Kuna hii tiba ya kutakasa kwa chumvi na mafuta ya mzeituni ambapo unaweza kutumia kwa kuchoma kuogea au kumwaga kuzunguka nyumba huku ukinuizia kufukuza mambo yote machafu na kukaribisha baraka na mafanikio
unaweza kufanya hivi mara moja kwa siku mara tatu au mara mbili kwa wiki nzima
Thanks brother mshana..
 
Usicheze na chumvi inaondowa mikosi, chumvi unaweza kumfukuza mtu asiweze kuja tena nyumbani kwako chumvi inaleta baraka kwenye nyumba au sehemu ya biashara chumvi ina siri kubwa sana mambo mengine siwezi kusema lakini chumvi iwe ni chumvi ya mawe sio chumvi ya unga.

View attachment 449309
Asante sana mzizi mkavu kwa mchango wako..
 
Kuna baadhi ya shida katika maisha utatuzi wake sio kwa waganga wa kienyeji ambako mara nyingi hukuacha na maagano
Kwahiyo Kuna hii tiba ya kutakasa kwa chumvi na mafuta ya mzeituni ambapo unaweza kutumia kwa kuchoma kuogea au kumwaga kuzunguka nyumba huku ukinuizia kufukuza mambo yote machafu na kukaribisha baraka na mafanikio
unaweza kufanya hivi mara moja kwa siku mara tatu au mara mbili kwa wiki nzima
mafuta ya mzeituni ni olive oil?
 
Back
Top Bottom