Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
aiseLabda kweli maana nilishaenda kusalimia sehemu ilipofika usiku bundi wakawa wanalia sana juu ya ile nyumba basi wenye mji wakatoa jiko nje wakaweka chumvi kwenye moto ikawa inalia kama baruti flan hv baada yapo ckusikia bundi mpk naondoka