Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Labda kweli maana nilishaenda kusalimia sehemu ilipofika usiku bundi wakawa wanalia sana juu ya ile nyumba basi wenye mji wakatoa jiko nje wakaweka chumvi kwenye moto ikawa inalia kama baruti flan hv baada yapo ckusikia bundi mpk naondoka
aise
 
Kwakuongezea kuna sehemu ukienda kununua chumvi dukani usiku ukisema naomba Chumvi hawakuuzii mpaka useme naomba Dawa ya jiko au Mkubwa wa jiko sijui sababu yake ni nini?
Hakya Mungu zamani ndio tulikuwa tunaambiwa hivyo..Sikujua ni kwanini
 
Kanisa Katoliki tunatumia chumvi na kuchanganya na maji...Mchanganyiko huo unabarikiwa kwa kutamka sala maalum..Tukitumia rehea ya maandiko pale Elisha alipochanganya maji na chumvi na kuponya miscariage na pooza...

Haya ndio tunaita maji ya Baraka.....Ni karne na karne Ritual hii ilifanyika mpaka leo
 
Watu wengi huwa hawafamu kitu
Kinaitwa imani kama unaamini inafanya hivyo
basi huwa hivyo hivyo.
Kama huamini basi haiwezi kuwa
na hii ndio hutokea pia katika uponyaji wa Yesu Kristo
kama unaamini Yesu anaponya basi atakuponya
Kama imani yako ni ya kusita sita basi ni dhahiri hutopona
 
Usicheze na chumvi inaondowa mikosi, chumvi unaweza kumfukuza mtu asiweze kuja tena nyumbani kwako chumvi inaleta baraka kwenye nyumba au sehemu ya biashara chumvi ina siri kubwa sana mambo mengine siwezi kusema lakini chumvi iwe ni chumvi ya mawe sio chumvi ya unga.

Hivi maana ya punguani ni nini?
 
Thanks brother mshana..
 
Asante sana mzizi mkavu kwa mchango wako..
 
mafuta ya mzeituni ni olive oil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…