Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Imani yeyote utenda Kazi Kwa anaeiamini na duniani elimu ni kubwa huwezi imaliza na kujua kila kitu ukiamini una mikosi au Baraka ndo inavokuwa
 
Mkuu umekusudia Hiliki ndio inayofanana na mbegu za papai na ndio inayo tiwa ndani ya Pilau? hongera kwa somo lako.
 
Mimi nakumbuka zamani kijijini,Bundi akilia juu ya Bati/mti jioni unaambiwa kachukue dawa ya jiko,unachoma kwenye moto ukielekezea alipo Bundi.Pale pale bundi ataanza kuharisha na kukimbia huwezi kumuona tena.Nadhani wote tunajua uchuro wa bundi,hivyo njia pekee mpaka leo naitumia hiyo ya mchumvi hasa pale unapoichoma ikilia taaaataaataaaa bundi naye atahangaika hivyo hivyo.Ninachokumbuka kwa leo ni hicho tu.
 
DADA UMETISHA
 
[emoji120]
 
Mungu pekee anaweza kuondoa mikosi na laana
Lakini chumvi.......😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…