Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo tu kwenye masoko na maduka ya kawaida
me nayahitaji kwa matumizi ya kawaida tu asante kwa maelekezoUlizia mafuta ya olive oil ndo utapata kwa urahis zaid
Toa somo pia mkuuUsicheze na chumvi inaondowa mikosi, chumvi unaweza kumfukuza mtu asiweze kuja tena nyumbani kwako chumvi inaleta baraka kwenye nyumba au sehemu ya biashara chumvi ina siri kubwa sana mambo mengine siwezi kusema lakini chumvi iwe ni chumvi ya mawe sio chumvi ya unga.
View attachment 449309
User name yako inakataa kunuksiwaSiwezi kujua
Hahahahasubuli wanakuja washirikina
Masomo mengine hayafai kusemwa mitandaoni utaitwa bure mchawi.Toa somo pia mkuu
Mkuu umekusudia Hiliki ndio inayofanana na mbegu za papai na ndio inayo tiwa ndani ya Pilau? hongera kwa somo lako.CHUMVI:-
••••••••••••
Inyunyize kidogo kwenye kona nne ndani ya nyumba yako,mchawi haingii ndani ngo.
Maji ya Baraka makanisani huombewa huku yakinyunyiziwa sea salts chimvi.
Idekie ndani mwako...
Chumvi ichanganye na kiungo fulani ambacho huwekwa kwenye pilau kinachofanana na mbegu za mapapai dekia kwenye biashara jumapili uone.
Inatosha..........
Imani potofu...chumvi kwake jikoni...mwilini haihuuu kha
Chumvi gani?!Au ile ya kuungia mbonga?
Kweli tusaidiane wakuu namna ya kuondoa mikosi maana sio kwa nuksi hii iliyoniandama. Chunvi unaifanyaje
Hahaaaa le me try aisee. .niwe soft[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ekchuale ukiogea maji yenye chumvi unakuwa soft balaa
DADA UMETISHADawa zipo na wala siyo kila dawa ni uchawi ama ushirikina. Kama ni hivyo basi nabii Elisha alipoyatibu Yale maji kwa chumvi alifanya ushirikina?! Hapana.
Mfano mwingine ni ule wa Kuponywa kwa binti Sara mchumba wa Tobia. (Biblia takatifu kitabu cha TOBITI 6: 17).
Tunaona jinsi malaika Rafael anavyomwongoza Tobia juu ya namna ya kumwondoa jini mbaya aliyemsumbua Sara kwa miaka kadhaa. Kwa kuchoma ubani na kisha kuweka vipande vya ini vya samaki kisha yule jini akaskia harufu ile akakimbia na wala hakurudi tena.
Tunajifunza kwamba; kwanza siyo kwamba Mungu au yule malaika (Rafael) alishindwa kumfukuzia mbali jini Bali kusudio ni kumwambia mwanadamu kuwa solutions za mambo mengi anazo hapahapa katika nchi.
Pili, Jinsi dunia ilivyoumbwa iko very balanced. Ndiyo maana Baada ya uumbaji biblia inasema :" Basi mbingu na nchi zikakamilika". (Mwanzo 2:1). Huko kukamilika maana yake ni kuwa ndani ya nchi kuna kila kitu kwa ajiri maisha yote ya Mwanadamu. E.g kama kuna kutiwa nuksi basi kuna njia za kinyume chake. Namna ya kuondoa nuksi.
Sasa kama kumtia MTU nuksi ni dhambi na kuondoa nuksi ni dhambi, ni lipi lenye kumpendeza Bwana Mungu?!
Tunafahamu Mungu anao uwezo mkuu. Angeweza kuyatibu Yale maji kwa kusema tu bila kuweka chumvi kwa mkono wa Elisha au angeweza kumponya binti Sara (Tobiti 6:17) vile vile pasipo hivyo vitu vya kidunia. Sasa kwa nini avitumie? Yule jini hakutaka Sara aolewe ndiyo maana akawa anaua kila mwanaume aliyemsogelea Sara. Kwa maneno mengine Sara alikuwa na nuksi!
Ndiyo kusema kwamba hayo yote Mungu anayafanya ili kutwambia kuwa solutions za mambo mengi tunayo hapahapa katika nchi.
Shida ni ufahamu wetu tu mdogo. Ndiyo maana akaongeza kusema kuwa :" WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA". Unadhani ni maarifa yapi?!
Tatizo ni kwamba tulio wengi kama hatujui kitu Fulani basi hicho siyo cha kweli. Na tunadhani kwamba maarifa tuliyonayo ndiyo ukomo wa maarifa kwa watu wote.
Find knowledge usidhani umeimaliza dunia.
- JODEO-
[emoji120]Dawa zipo na wala siyo kila dawa ni uchawi ama ushirikina. Kama ni hivyo basi nabii Elisha alipoyatibu Yale maji kwa chumvi alifanya ushirikina?! Hapana.