Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Imani yeyote utenda Kazi Kwa anaeiamini na duniani elimu ni kubwa huwezi imaliza na kujua kila kitu ukiamini una mikosi au Baraka ndo inavokuwa
 
CHUMVI:-
••••••••••••
Inyunyize kidogo kwenye kona nne ndani ya nyumba yako,mchawi haingii ndani ngo.
Maji ya Baraka makanisani huombewa huku yakinyunyiziwa sea salts chimvi.
Idekie ndani mwako...
Chumvi ichanganye na kiungo fulani ambacho huwekwa kwenye pilau kinachofanana na mbegu za mapapai dekia kwenye biashara jumapili uone.
Inatosha..........
Mkuu umekusudia Hiliki ndio inayofanana na mbegu za papai na ndio inayo tiwa ndani ya Pilau? hongera kwa somo lako.
HILIKI.jpg
 
Mimi nakumbuka zamani kijijini,Bundi akilia juu ya Bati/mti jioni unaambiwa kachukue dawa ya jiko,unachoma kwenye moto ukielekezea alipo Bundi.Pale pale bundi ataanza kuharisha na kukimbia huwezi kumuona tena.Nadhani wote tunajua uchuro wa bundi,hivyo njia pekee mpaka leo naitumia hiyo ya mchumvi hasa pale unapoichoma ikilia taaaataaataaaa bundi naye atahangaika hivyo hivyo.Ninachokumbuka kwa leo ni hicho tu.
 
Dawa zipo na wala siyo kila dawa ni uchawi ama ushirikina. Kama ni hivyo basi nabii Elisha alipoyatibu Yale maji kwa chumvi alifanya ushirikina?! Hapana.

Mfano mwingine ni ule wa Kuponywa kwa binti Sara mchumba wa Tobia. (Biblia takatifu kitabu cha TOBITI 6: 17).

Tunaona jinsi malaika Rafael anavyomwongoza Tobia juu ya namna ya kumwondoa jini mbaya aliyemsumbua Sara kwa miaka kadhaa. Kwa kuchoma ubani na kisha kuweka vipande vya ini vya samaki kisha yule jini akaskia harufu ile akakimbia na wala hakurudi tena.

Tunajifunza kwamba; kwanza siyo kwamba Mungu au yule malaika (Rafael) alishindwa kumfukuzia mbali jini Bali kusudio ni kumwambia mwanadamu kuwa solutions za mambo mengi anazo hapahapa katika nchi.

Pili, Jinsi dunia ilivyoumbwa iko very balanced. Ndiyo maana Baada ya uumbaji biblia inasema :" Basi mbingu na nchi zikakamilika". (Mwanzo 2:1). Huko kukamilika maana yake ni kuwa ndani ya nchi kuna kila kitu kwa ajiri maisha yote ya Mwanadamu. E.g kama kuna kutiwa nuksi basi kuna njia za kinyume chake. Namna ya kuondoa nuksi.

Sasa kama kumtia MTU nuksi ni dhambi na kuondoa nuksi ni dhambi, ni lipi lenye kumpendeza Bwana Mungu?!

Tunafahamu Mungu anao uwezo mkuu. Angeweza kuyatibu Yale maji kwa kusema tu bila kuweka chumvi kwa mkono wa Elisha au angeweza kumponya binti Sara (Tobiti 6:17) vile vile pasipo hivyo vitu vya kidunia. Sasa kwa nini avitumie? Yule jini hakutaka Sara aolewe ndiyo maana akawa anaua kila mwanaume aliyemsogelea Sara. Kwa maneno mengine Sara alikuwa na nuksi!

Ndiyo kusema kwamba hayo yote Mungu anayafanya ili kutwambia kuwa solutions za mambo mengi tunayo hapahapa katika nchi.

Shida ni ufahamu wetu tu mdogo. Ndiyo maana akaongeza kusema kuwa :" WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA". Unadhani ni maarifa yapi?!

Tatizo ni kwamba tulio wengi kama hatujui kitu Fulani basi hicho siyo cha kweli. Na tunadhani kwamba maarifa tuliyonayo ndiyo ukomo wa maarifa kwa watu wote.

Find knowledge usidhani umeimaliza dunia.

- JODEO-
DADA UMETISHA
 
[emoji120]
 
Back
Top Bottom