Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Mataifa yaliyofanikiwa yaliwekeza kwenye rasiliamali watu wao waliamini hakuna mtu mjinga hakuna mtu anayekuja Dunia bure hata yule aliyefeli shule bado waliamini ni ana akili kama watu wengine sisi waafrika tulichelewa tuliamini mtu aliyefeli shule ni kilaza mwisho tunakuja kuona hata wale walioshindwa shule wanamaisha mazuri kuliko wasomi
 
Jikite kwenye mada,

Ugali una faida Gani kiafya ukilinganisha na ngano?
 
Subiri The Icebreaker aje
 
Ugali ni kama chakula cha watumwa wale wapate nguvu na akili kidogo za kufanyia kazi sio kuwa wabunifu na wadadisi.

Hata hapa bongo walaji wa ndizi kwa wingi wengi wanachangamka kichwani. Hawa wala makande na sembe ni tiamajitiamaji.

Kula nyama, ngano, maziwa, mizizi kama viazi na magimbi, asali, wadudu kama senene na kumbikumbi na samaki. Sio kila siku ugali, ugali, ugali aaah lazima tuwe na taifa la vilaza.
 
Wale nshomile ni Wana akili sababu ya matokeo,

Wachaga pia wamechanganka kichwani sababu ya ndizi,

Sasa wakila ngano itakuwa zaidi.

Tubadilike
 
Upo sahihi, ila ulipaswa useme

"Ngano isiyokobolewa" ile wanayotumia sana watu wa mashariki ya kati hasa Waisrael

Ngano nyeupe iliyokobolewa ndio mbaya zaidi kuliko hata ugali, kwa mfano mkate mweupe
 
Kama mtu Hana akili hana tu ata umpe debe la ngano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…