Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mshaurini aandike jina la mama yake kwenye mali zake.Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.
Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2691954
Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.
Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye πππππ
View attachment 2691954
Ahhh akiingia hapo ubungo kwa wachina kazi imeishaaaπ€£ mzigo wanakuletea ulipo, gharama buku ten,kwa dizim tuπSasa hapa bongo ataenda kutumia wapi!? ππ€£ bongo mna store ya gucci?π
Aje kidimbwi tugonge nae nyagi na vantsSasa hapa bongo ataenda kutumia wapi!? ππ€£ bongo mna store ya gucci?π
Joannah hivi hiyo jamaa aiyesema anataka out na wewe alifanikiwa kweli?Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.
Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye πππππ
View attachment 2691954
Ngozi nyeusi akili zetu tunazijua sisi tu, sijawahi kuona mzungu pure anafanya hivo.Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.
Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye πππππ
View attachment 2691954
Hana demu huyo.Mshaurini aandike jina la mama yake kwenye mali zake.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Floyd ana akili sana ya pesa ndio maana kila kukicha utajiri wake unazidi kuimarika.Waafrika wengi ndivyo walivyo..kutumia sana bila mpangilio wala kujali kesho itakuwaje.
Mfano, Mike Tyson