Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrika tunaulimbukeni wa mali na ushamba kwasababu hatujazaliwa nao. Tuliishi kwenye mapango na vijijini huko ambako hakuna umeme na chakula cha shida.Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.
Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye 😂😂😂😂😂
View attachment 2691954
Mwenyewe peke yake Sauzi anakarishwa asubuhi na Mapema....!Sasa huyu walinzi wa nini wakati ye mwenyewe ulinzi tosha