Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

Sasa mtu anajua ngumi walinzi wa nini?
Ni kweli anajua ngumi lakini,huyo ni celebrity,Kwake kila anachofanya au kufanyiwa kinaweza kugeuka pesa muda wowote,wale bodyguards kazi yao ni kumlinda, kuzuia watu kumkaribia na pia kusafisha njia hasa kwenye kadamnasi.

Hebu fikiria anatembea mwenyewe mtaani akaja kijana wa hovyo akampiga kofi,unadhani nayeye akimpiga Kofi au ngumi nini kitatokea?magazeti ya udaku yataandika vibaya,kijana anaweza kufungua kesi,hata kama hatashida lakini tayari itamcost mawakili,muda na image yake.

Au fikiria demu akamkaribia jamaa akamchokoza,kama jamaa akikasirika akamsukuma au kumpiga kofi tayari kwake ni shida,hivyo kuzuia hayo yote na kulinda brand yake ni lazima awe na walinzi,haya mambo yalimgharimu sana Tyson kutaka kuonyesha ubabe mtaani akaishia kulipa watu pesa hovyo.

Mwisho,kujua ngumi sio kwamba mtaani anaweza kumpiga kila mtu,watu wengi tu wa kawaida wanaweza kumpiga vizuri tu.
 
Si kweli, kisa Cha kubundwa unakijua vizuri, bondia Yule nilikuwa namkubali kweli

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe na mimi nani anamjua Thomas Mashali vizuri?

Huyo Thomas alikuwaga mwanangu sana ila tabia zake za kijinga zilipozidi nikamkataaa.

Kisa cha yeye kuuliwa aliitwa sehemu na mshikaji wake mwingine wanywe bia kisha mshkaji akampa laki 1 kiroho safi.

Mashali alivyopewa laki akalazimishwa aongezewe pesa kisa mshkaji ni mwanae sana na siku hiyo alikuwa na pesa ndefu (10M) .


Sasa ile kulazimisha kuongezewa pesa ambayo hajui hata imepatikana vipi na kumletea utemi wapambe wa pembeni waliokuwa na huyo jamaa wakaona hizi dharau wakamuwakia jamaa akafanikiwa kuwadhibiti ,walipodhibitiwa wakaanza kumuitia mwizi ,Mashali akawa anakimbia umbali kadhaa kisha anasimama kuwapunguza watu kadhaa mwisho wa siku akazidiwa nguvu akauwawa ,japo baadhi ya watu hawakujua wanayempiga ni Mashali maana ilikuwa usiku ,baada ya kufa kumuangalia vizuri kumbe ni yeye kukawa hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom