Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

jamaa ni mshamba sana
1689790467142.jpg
 
Daaah kufuru ya maana hii.
Fuatilia kipindi kile ana bifu na 50 Cent .
Utajiri wote wa 50 Cent ulikuwa Bilioni 18 ,Floyd ana miliki saa ya bilioni 20 kwa hiyo akamwambia usibishane na mimi anza kwanza kubishana na saa yangu 😂😂😂😂😂

Pia ikumbukwe 50 Cent alikuwa mpambe wa Floyd enzi hizo kama ilivyokuwa kwa Justin Bieber
 
Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.

Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.

Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2691954
Tufanyeje sasa mkuu?
 
Ngozi nyeusi akili zetu tunazijua sisi tu, sijawahi kuona mzungu pure anafanya hivo.

Hata Michael Jackson alikua anafanya shopping ya madude ambayo hata hakuwahi kuyatumia.

Hata kwenye media ni ngumu kukuta wazungu pure au waarabu pure wanafanya maisha ya show off, wale wanaishi utajiri hawaoneshi utajiri
Kwa waarabu utakuwa hujafanya tafiti vizuri labda uwatoe waarabu waweke wachina
 
Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.

Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.

Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye 😂😂😂😂😂

View attachment 2691954
Akifika bongo fanya bidii umuombe mkopo, upunguze umasikini
 
Ulimbukeni wa pesa wanakuwaga nao waafrika nadra sana kukuta mzungu, Mchina,mhindi mwenye pesa chafu akafanya kufuru.Thus pesa zao urithiwa vizazi kwa vizazi
 
Back
Top Bottom