Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati pia jamaa akatua bongo.
Na kwa ninavyowajua dada zangu wa kibongo akitua bongo tu wanaye πππππ
View attachment 2691954