Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

View attachment 2200130
Lakini tuanze pale Waziri mhusika anakwenda kupaka rangi hivyo vyuma, sasa wahusika wafanye kazi gani? Yaani mambo shaghalabaghala Tu!
 
Wakishamaliza kuzunguka nchi nzima ndio watakumbuka yafuatayo:

Mfumo wa anauani za makazi unahitaji post Code maana majina ya mitaa inaweza fanana; ndio maana kila mtaa unakuwa na post Code yake.

Kusambaza barua na mizigo majumbani unahitaji distribution network ili uwe na operation yenye tija.

Kuongelea mambo ya administration changes za post and Human Resources planning ni story nyingine ndefu.

Kwa kifupi kinachoendelea ni ufujaji wa pesa tu, labda kama tunafikiria kwa mtindo wa boda-boda delivery kwenye “load”.
 
Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

View attachment 2200130
😃😆😅🤣
Bongo hatari sana aise. Matumizi ya L na R katika mitamko na uandishi ni JANGA LA TAIFA.
 
Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

View attachment 2200130
Hapo mama anahusikaje?
Huu ni upuuzi wa walioandaa na waziri mwenye dhamana kwa watu wake. Ccm hawatufai kwa nyakati hizi.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

View attachment 2200130
Unashangaa nini waandikaji form four vyeti vya kufoji na wapokea vibao na kusimika form four vyeti vya kufoji ulitarajia nini?

Hayo ndio matokeo ya kubebana kupeana kazi kwa kujuana bila kuhakiki vyeti watu wanapeana kazi misikitini na vyumbani hivyo vibao waandikaji waislamu na wapokeaji na wasimikaji waislamu wakataa elimu dunia kuwa sio muhimu ila kazi wanataka wanasema waislamu wanaonewa na mfumo Kristo hawapewi tenda hata za kuandika vibao vya mitaa na kusimika!!
 
hili zoezi halikupewa pesa ya kutosha pamoja na muda.... kinachoendelea sasa hivi ni upuuzi tu huko halmashauri.... kwa kifupi kama una 150k mtaa unaweza kupewa jina lako kwa kulipia tuhicho kiasi....

kwa ufupi kazi imelipuliwa tu labda kama watakuja kufanya maboresho baadae taratibu na kwa ufanisi zaidi
Sio kwamba pesa hazikutolewa.
Kuna ile tabia ya viongozi kuyoa tenda za uwani na kuchukulia kuwapatia watu wa mitaani waandika mabango kwa bei ya chini lakini ukirudi kwenye tenda halisi utashangaa hiyo bei.
Tumeendelea kupigwa kweupe.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Sishangai hilo, nmewahi kwenda kwenye stationery ya chuo kikuu Mwenge, nikakuta ina bango kuubwa limeandikwa stationary

Pita mtaani uone ni vinyozi na wasusi wangapi wamendika mabango ya gharama saloon(gari la chini chini kama corolla) badala ya salon

Kwa ujumla kiingereza ni shida, sasa kwenye kazi serious kama hizi za serikali wakipeleka mtaani kuandika matokeo ndio hayo
 
Hii imenikumbusha zile point zetu pendwa za;
-cheap labour
-poor governance
-corruption etc
Sio hao waliondika ,kupokea hivyo.vibao na kusimika ni wasomi waliosoma madrasa za kiislamu tena hapo wamejitahidi misikitini wanasifiwa kuwa ndio wasomi
 
CAG aende hata wewe nenda halmashauri ukahakiki kaangalie mtoa tenda dini gani,waandikaji dini gani wapokea hivyo vibao dini gani na wachimbaji kusimika hivyo vibao dini gani.Sio kesi nenda kahakiki mwenyewe
Mmmmh, wapi huko? Hii sasa ni kashfa!
 
CAG aende hata wewe nenda halmashauri ukahakiki kaangalie mtoa tenda dini gani,waandikaji dini gani wapokea hivyo vibao dini gani na wachimbaji kusimika hivyo vibao dini gani.Sio kesi nenda kahakiki mwenyewe
Wacha ubaguzi wewe kungwi.
 
Back
Top Bottom