imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Atapona vidonda.hapana mulitaka kumuuwa vidonda risasi 19 kanyweni mvinyo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapona vidonda.hapana mulitaka kumuuwa vidonda risasi 19 kanyweni mvinyo sasa
Kwenye tinted unaweza kumuona mtu?Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
baba bashite na mwanawe wancheka kwa kijino pembe leo wewe mshiko umekujaa kwenye gunia dunia haisimami majibu ni hapa dunianiAtapona vidonda.
Ukiwa mwanasiasa hukosi maadui wanje na ndani kwa hiyo uskonde ni mambo ya siasa angelikuwa mexico wangemfaya chujio la chai matundu mia sita.baba bashite na mwanawe wancheka kwa kijino pembe leo wewe mshiko umekujaa kwenye gunia dunia haisimami majibu ni hapa duniani
Inajua watu wengine kama hawa usiwajibu. Alitegemea angekufa kwa bahati mbaya hakufa ndiyo maana anayaita maigizo. Ange uwawa isingekuwa maigizoHizo risasi 5 mwilini ni igizo,,hivi risasi ikiingia mwilini ni sawa na kuumwa kichwa?
Ndio bashite na bab yake mbona hilo linajulikana ndio maana wana laanaUkiwa mwanasiasa hukosi maadui wanje na ndani kwa hiyo uskonde ni mambo ya siasa angelikuwa mexico wangemfaya chujio la chai matundu mia sita.
UTAKUA UNAWAJUA WAUAJI SI BURENimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Siku ukivamiwa wewe ndo utajua kucheka si unajifanya kujchekesha apaHahaha mie Najichekea tu
taharuki kila kona
kila mtu anaandika lake!!
Ngoja tuone
Mungu atamponya mkuu relaxkuna umuhimu wa wanaharakati km tundu lissu kutumia bullet proof cars na chama kiwawekee ulinzi wa private na uwe madhubuti.... maana wanavowanyanyasa hivi wapinzani ni dhahiri c maskini wa chini hatutakuja kukomboka...nipo nalia zangu km vile wamempiga baba angu so sad
We nae huwa unajiropokea tuNI IGIZO HILO HAKUNA ALIYETAKA KUMUUA..
Hawa ccm wametumwa kuja kupindisha maneno wamejaa upumbavuHizo risasi 5 mwilini ni igizo,,hivi risasi ikiingia mwilini ni sawa na kuumwa kichwa?
Risasi alikuwa anapiga upande aliko ndo maana aliweza kupiga kwa hiyo sio mtu ambaye ajui kutumia silaha. Huyu ni mjuzi ndo maana hakuweza kujulikana inawezekana akawa mdunguaji ila kwa sababu ya Ukuu wa Mungu aliweza kuepusha kutokupigwa Risasi hehemu mbaya.Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.