Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Makusudi, mizaha kimojawapo ni kweliKwanini walinzi wamfungie kwa nje🤔🤔
Inamaana hao walinzi kazi yao ni nini hapo?Makusudi, mizaha kimojawapo ni kweli
Nilitoa angalizo lakini mapemaHizoi PICHA zinatisha futa bana
Hapo yupo marehemu na mtuhumiwa muuaji kwenye picha ya pamojaInamaana hao walinzi kazi yao ni nini hapo?
Inasikitisha sana...Hapo yupo marehemu na mtuhumiwa muuaji kwenye picha ya pamoja
Wasouth wanaroho mbaya sanaInasikitisha sana...
Wasouth wanaroho mbaya sanaInasikitisha sana...
Ubinadamu haupo, watu wamekua kama wanyamaHii dunia inaelekea kubaya mno. Thamani ya uhai wa mtu imekuwa kama ya mbuzi tu.
Ni wakatili sanaWasouth wanaroho mbaya sana
Yaani mtu ukimkosea anaona bora akupe adhabu ya kifo😥Wasouth wanaroho mbaya sana
Ubinadamu haupo, watu wamekua kama wanyama
Adhabu za kimahakama ni kifungo cha maisha au kunyongwa ila bado haitoshi kwa unyama huuJamaa nae anastahili kifo cha mateso kama alivyomfanyia mwenzake
Matumizi ya madawa, chuki, wivu ni tabia pendwa huko kwa madibaAna matatizo ya akilihuyu