Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

Ndugu Ukigomban na mtu dunia ya leo ukaona ameondoka mara baadae/kesho anakuja kulianzisha jua amejiandaa, na watu hawatanii sikuhizi unatolewa supu mapema.

Tumia miguu yako vizurii, hujapewa ya kupiga mapaka hio,
Mimi Niliponea chupu chupu, baada ya kuona kuna kitu kimetuna kwenye T-shirt kumbe ni sime, Acheni kabisa, nilichomoka kiasi kwamba alikimbiza hatua chache tuu akakata tamaa, sikurudi ile mitaa mpaka lile juha lilitiwa nguvuni.
Hahaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], ukaona cha kufia nini sio ?
Mbio na wewe
 
Ninachojiuliza utumbo utoke nje na jamaa hajalowa damu hata chembe inawezekanaje hii?
Unaioewa vizuri body anatomy, sehemu ya tumbo hakuna mishipa mikubwaya damu kama kwenye mikono, miguuni na baadhi ya sehemu bali kuna ABS Muscle tuzenye veins ndogondogo kwahio ukichomwa kitu hadi kuchanwa tumbo hutatoka damu nyingi na vifo vya kuchomwa tumboni havisababishwi na bleeding bali ni kuharibu Organs na Tissues za ndani ya tumbo
 
Naskia nyama ya bindam ni tamu ukianza kuionja huachi kwahiyo jamaa afungiwe peke yake anaweza kula wafungwa wenzake
 
Back
Top Bottom