Hahaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], ukaona cha kufia nini sio ?Ndugu Ukigomban na mtu dunia ya leo ukaona ameondoka mara baadae/kesho anakuja kulianzisha jua amejiandaa, na watu hawatanii sikuhizi unatolewa supu mapema.
Tumia miguu yako vizurii, hujapewa ya kupiga mapaka hio,
Mimi Niliponea chupu chupu, baada ya kuona kuna kitu kimetuna kwenye T-shirt kumbe ni sime, Acheni kabisa, nilichomoka kiasi kwamba alikimbiza hatua chache tuu akakata tamaa, sikurudi ile mitaa mpaka lile juha lilitiwa nguvuni.
Mbio na wewe