Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

Kwa madiba kuna mambo,

Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma

Muuaji alikua na bifu na marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha,, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo

Baadhi ya mashahidi wanasema marehemu alipotaka kukimbia kujiokoa maisha yake walinzi wa getini walimfungia kwa nje.

Muuaji baada ya kutekeleza mauaji hayo alijipiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii

Upelelezi unaendelea.....View attachment 2810414View attachment 2810415View attachment 2810416

Angalizo picha zinahuzunisha
Ninachojiuliza utumbo utoke nje na jamaa hajalowa damu hata chembe inawezekanaje hii?
 
Ubinadamu upo. Ubinadamu ni uovu. Ukikutana na mtu ambaye si muovu ni bahati tu. Hayo aliyofanya huyu jamaa wa Afrika Kusini ndiyo mambo ya kibinadamu.

Wanyama hawauwi ovyo. Na Simba hauwi simba.
Una uhakika Simba hauwi Simba? Umesahau kesi ya yule Simba Mzee( jina nimelisahau) kule Serengeti alivyouliwa na wenzake?
 
Kwa madiba kuna mambo,

Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma

Muuaji alikua na bifu na marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha,, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo

Baadhi ya mashahidi wanasema marehemu alipotaka kukimbia kujiokoa maisha yake walinzi wa getini walimfungia kwa nje.

Muuaji baada ya kutekeleza mauaji hayo alijipiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii

Upelelezi unaendelea.....View attachment 2810414View attachment 2810415View attachment 2810416

Angalizo picha zinahuzunisha

NAKUSHAURI UDELETE HIZO PICHA!!!
JAPO SIKULAUMU KWA KUWA UMEZIWEKA BILA KUJUA NI PICHA ZIPI HAZIENDI PUBLIC, HASA ZENYE KUGUSA HISIA ZA WATU....
 
Back
Top Bottom