ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Lkn marehemu alitakiwa apambane na huyo jamaa. Sio kuuliwa kimbuzi mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubinadamu upo. Ubinadamu ni uovu. Ukikutana na mtu ambaye si muovu ni bahati tu. Hayo aliyofanya huyu jamaa wa Afrika Kusini ndiyo mambo ya kibinadamu.Wasouth wanaroho mbaya sana
Ubinadamu haupo, watu wamekua kama wanyama
Hii ni organized crime, jamaa asingeweza kufanya hicho kitendo pekeyakeLkn marehemu alitakiwa apambane na huyo jamaa. Sio kuuliwa kimbuzi mbuzi
Ninachojiuliza utumbo utoke nje na jamaa hajalowa damu hata chembe inawezekanaje hii?Kwa madiba kuna mambo,
Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma
Muuaji alikua na bifu na marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha,, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo
Baadhi ya mashahidi wanasema marehemu alipotaka kukimbia kujiokoa maisha yake walinzi wa getini walimfungia kwa nje.
Muuaji baada ya kutekeleza mauaji hayo alijipiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii
Upelelezi unaendelea.....View attachment 2810414View attachment 2810415View attachment 2810416
Angalizo picha zinahuzunisha
Wahusika ni wengiNinachojiuliza utumbo utoke nje na jamaa hajalowa damu hata chembe inawezekanaje hii?
Una uhakika Simba hauwi Simba? Umesahau kesi ya yule Simba Mzee( jina nimelisahau) kule Serengeti alivyouliwa na wenzake?Ubinadamu upo. Ubinadamu ni uovu. Ukikutana na mtu ambaye si muovu ni bahati tu. Hayo aliyofanya huyu jamaa wa Afrika Kusini ndiyo mambo ya kibinadamu.
Wanyama hawauwi ovyo. Na Simba hauwi simba.
kumbe Akili ina afya ..?Uliyepost hizi picha una tatizo la afya ya akili. Ngdeleeesi
Kwa madiba kuna mambo,
Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma
Muuaji alikua na bifu na marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha,, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo
Baadhi ya mashahidi wanasema marehemu alipotaka kukimbia kujiokoa maisha yake walinzi wa getini walimfungia kwa nje.
Muuaji baada ya kutekeleza mauaji hayo alijipiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii
Upelelezi unaendelea.....View attachment 2810414View attachment 2810415View attachment 2810416
Angalizo picha zinahuzunisha
Ugomvi (general) wa muda mrefuJamaa alifanyiwa nini hadi amuue mwenzie kinyama nama hiyo?
Na wewe ni walewaleLkn marehemu alitakiwa apambane na huyo jamaa. Sio kuuliwa kimbuzi mbuzi
Sijakuelewa!?
Wabongo wenyewe wapo wenye rohoWasouth wanaroho mbaya sana
Na asingeweka picha wadau humu wangelalamika,ungesikia picha iko wapiJamaa katili sana.
Muwe mnaweka tahadhari ya hizo sensitive image. Hii siku ya leo kwa upande wangu imeshaharibika tayari kwa kuona hizo picha.