Mauaji haya yangefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea sababu sio "dikteta"?

Story ya upande mmoja hii
Okay sawa nani alimpiga risasi tundu lisu na kwann?
 
Hamna mtu anayefuatilia
 
Uchunguzi zaidi unahitajika, tupate na taarifa za upande mwingine wa pili.
 
🤣🤣Aaah
 
Ingekuwa awamu ya 5 zito angekuwa hewani kusema Magufuli anaua watu, leo yuko mezani ana kula huwezi msikia.

Tushughulikie tatizo sio personalities. Kula kwa Zitto hakuhalalishi Polisi kuua watu hoyvo. Polisi ni tatizo kwani wameua wangapi?
 
30 December 2023
Dar es Salaam, Tanzania

WALINZI WA SUNGUSUNGU NA WAKAAZI WANAWAKATI MGUMU VIGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM


View: https://m.youtube.com/watch?v=RsstoP_3nYw
Wahanga wa matukio ya kinyama ya uhalifu jijini wajitokeza kutoa ushuhuda

Walinzi wa kujitolea yaani sungusungu wapigwa mapanga na panya road wahofia maisha yao hawana bima ya afya wala kupatiwa matibabu na dawa bure na serikali

Pia wakaazi wengine wajeruhiwa na mapanga, kupigwa visu na kukabwa wengine wapoteza maisha.

Hali ya maeneo ya Vingunguti jijini hali ni kama uwanja wa vita wengi wananakovu ya majeraha na kuishi kwa wasiwasi
 
Sometimes unakita police ni form 4 failure.unategemea nini? Kutobolewa macho ni kuficha forensic pathology kwa sababu macho huwa yanapiga picha
 
Kweli kazin kwa Mama Dr Samia kuna Kaz, kuhakikisha anatolewa urais.Mama ondoka usingizini, fuataria vizuri na chukua hatua. unachafuliwa,.
 
Sometimes unakita police ni form 4 failure.unategemea nini? Kutobolewa macho ni kuficha forensic pathology kwa sababu macho huwa yanapiga picha
Kwanu walitoboa macho baada ya kufa au kabla?
 
Hatar sana
Wameanza kurudi ?!! Panya r Au ??!!
 
Yaani Mungu ateupushe na watu kama hawa maana Dunia imeharibika mno kwa sasa
 
Nyie mnao toa lawama kwa Police, kiufupi hamjawahi kukutana na kadhia ya majambazi au Panyaroad.

Hao wanao onyesha majeraha waliyopata kutokana na vipigo vya panya road, furaha yao ya kwanza kabisa ni kusikia panyaroad wote wametoweka duniani.
 
Inasikitisha sana uhai wa binadamu tena waTanzania wenzetu hauthaminiwi kabisa na serikali yetu pamoja pia na jamii.
Siku ukikutana na panyaroad wakakujeruhi kama hao wenzetu kwenye hiyo video clip, naamini huwezi andika haya.
 
Washkaji ndiyo wameenda hivyo.Inasikitisha sana.

Wasiojulikana wanalipwa mwisho wa mwezi, Mwijaku analipwa kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…