Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Story ya upande mmoja hii
Okay sawa nani alimpiga risasi tundu lisu na kwann?

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa vyombo vya dola wana nafasi nzuri ya kuwapata waliofanya mauaji.
Maana walionekana maeneo wakimsubiri marehemu arudi, hivyo hii ni operesheni inayojulikana.
Ili kupata majibu maswali haya yaulizwe :
NI utaratibu kuwa hakuna operesheni ambayo haijajadilliwa itafanyika vipi, silaha zitatoka wapi, mkuu wa operesheni ni nani, aliongoza watu wangapi na waliimaliza operesheni ya kipolisi muda gani.
- Nani alifungua faili la msako
- Kituo gani cha polisi kilipewa jukumu
- Au ni task force / kikosi gani maalum kilipewa jukumu
- Nani kama kiongozi, aliongoza operesheni kuelekea eneo alilodhaniwa marehemu watawakuwepo ili wakamatwe
- Kiongozi huyo alikuwa na watu wangapi ktk kikosi cha mauaji
- Watu waliokuwapo ktk kikosi ni kina nani
- Magari yaliyotumika katika operesheni yalikuwa yapi
- Madereva wake ni kina nani
- Baada ya kuwakamata na kuwapiga risasi raia, kina nani waliwaingiza ktk magari
- Magari hayo yalienda wapi
- Miili miwili iliokotwa wapi
- Polisi kituo gani walifika kuokota miili
- Nani aliifikisha miili Amana Hospitali Ilala jijini Dar es Salaam
- Mortuary attendant walikuwa kina nani
- Miili hiyo ilikuwa na risasi walizopigwa au waliongezewa risasi na miili kuharibiwa zaidi
- Nini sababu ya majeraha kuongezeka katika miili
Hayo yakifanyika ni rahisi kujua ni nani alihusika na operesheni hiyo, sababu ya operesheni pia usiri wa kutohusisha viongozi wa mtaa au hata watu waliokuwa ktk nyumba kuwa walifika hapo kikazi na wajitambulishe pia kusema wanakwenda wapi na mtuhumiwa/ watuhumiwa ili haki ya kujua ndugu yao wamepelekwa wapi na wapo ktk hali gani mikokoni mwa Polisi kabla hawajaondoka nao.
View: https://m.youtube.com/watch?v=B5x4UmcaKM8
Hamna mtu anayefuatilia
Wala Magufuli hakuwahi kua dikteta ni kelele za walamba asali zilikua.
Hao vijana inasemekana ni panya road. Walimjeruhi huyu jamaa ambae anawajua vizuri.
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1741161202762363082?s=19
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani
Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote
≠=============================
View: https://youtu.be/AEIYY8IyB9w?si=HYXCGwq5FXvyGN_D
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha kupelekwa kusikojulikana na baada ya Familia kuwatafuta bila mafanikio hatimaye December 28,2023 asubuhi miili yao ikafikishwa Amana Hospital na Watu waliojitambulisha ni Askari wakidai miili hiyo wameiokota.
Mzee Swalehe Kacheuka ambaye ni Baba Mzazi wa Shomari ameiambia @AyoTV_ kuwa “Babuu alikuwa anafanya kazi Kariakoo kampuni ya kuuza pikipiki, aliporudi kazini wakaja Wat waliojitambulisha ni Askari ila hawajavaa sare wakamsimamisha kwamba upo chini ya ulinzi akawauliza nimefanyaje wakawa wanabishana wakampiga risasi ya mguu, Kaka yake katoka wakamnyooshea bastola, akaja Rafiki yake Ismail wakati wanamkunja akasogea wakampiga risasi ya mguuni na wakawachukua wote wakaondoka nao, Ismail walimpakia kwenye IST, Bakari wakampakia kwenye Defender”
Kwa upande wake Mzazi wa Shemeji wa Bakari Ismail amesema “Tulipopata taarifa asubuhi December 28,2023 tukaamkia Polisi Buguruni tukaambiwa hawajaletwa, tukazunguka vituo vya polisi karibu sita hatukufanikiwa, tukazunguka Hospitali tukaambiwa hawajaletwa, mida ya saa 8 mchana tukaambiwa kuna miili Amana ambayo imepelekwa na Polisi wakisema wameowakota Vingunguti”
Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta
…
🤣🤣Aaahutawala huu majambazi unaweza kukutana nayo yakakunyang'anya vitu na kukusindikiza nyumbani huku wanakupigia mziki na maumivu husikii ila polisi ni zaidi ya magaidi hatujui nani anatulonda raia na mali zetu hapo itaundwa tume ya mavi na mkojo vitapelekwa maabara majibu yatakuwa marehemu walikula mihogo buguruni sheli na maembe bila kuoshwa shenzi kabisa!
Ingekuwa awamu ya 5 zito angekuwa hewani kusema Magufuli anaua watu, leo yuko mezani ana kula huwezi msikia.
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani
Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote
≠=============================
View: https://youtu.be/AEIYY8IyB9w?si=HYXCGwq5FXvyGN_D
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha kupelekwa kusikojulikana na baada ya Familia kuwatafuta bila mafanikio hatimaye December 28,2023 asubuhi miili yao ikafikishwa Amana Hospital na Watu waliojitambulisha ni Askari wakidai miili hiyo wameiokota.
Mzee Swalehe Kacheuka ambaye ni Baba Mzazi wa Shomari ameiambia @AyoTV_ kuwa “Babuu alikuwa anafanya kazi Kariakoo kampuni ya kuuza pikipiki, aliporudi kazini wakaja Wat waliojitambulisha ni Askari ila hawajavaa sare wakamsimamisha kwamba upo chini ya ulinzi akawauliza nimefanyaje wakawa wanabishana wakampiga risasi ya mguu, Kaka yake katoka wakamnyooshea bastola, akaja Rafiki yake Ismail wakati wanamkunja akasogea wakampiga risasi ya mguuni na wakawachukua wote wakaondoka nao, Ismail walimpakia kwenye IST, Bakari wakampakia kwenye Defender”
Kwa upande wake Mzazi wa Shemeji wa Bakari Ismail amesema “Tulipopata taarifa asubuhi December 28,2023 tukaamkia Polisi Buguruni tukaambiwa hawajaletwa, tukazunguka vituo vya polisi karibu sita hatukufanikiwa, tukazunguka Hospitali tukaambiwa hawajaletwa, mida ya saa 8 mchana tukaambiwa kuna miili Amana ambayo imepelekwa na Polisi wakisema wameowakota Vingunguti”
Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta
…
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani
Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote
≠=============================
View: https://youtu.be/AEIYY8IyB9w?si=HYXCGwq5FXvyGN_D
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha kupelekwa kusikojulikana na baada ya Familia kuwatafuta bila mafanikio hatimaye December 28,2023 asubuhi miili yao ikafikishwa Amana Hospital na Watu waliojitambulisha ni Askari wakidai miili hiyo wameiokota.
Mzee Swalehe Kacheuka ambaye ni Baba Mzazi wa Shomari ameiambia @AyoTV_ kuwa “Babuu alikuwa anafanya kazi Kariakoo kampuni ya kuuza pikipiki, aliporudi kazini wakaja Wat waliojitambulisha ni Askari ila hawajavaa sare wakamsimamisha kwamba upo chini ya ulinzi akawauliza nimefanyaje wakawa wanabishana wakampiga risasi ya mguu, Kaka yake katoka wakamnyooshea bastola, akaja Rafiki yake Ismail wakati wanamkunja akasogea wakampiga risasi ya mguuni na wakawachukua wote wakaondoka nao, Ismail walimpakia kwenye IST, Bakari wakampakia kwenye Defender”
Kwa upande wake Mzazi wa Shemeji wa Bakari Ismail amesema “Tulipopata taarifa asubuhi December 28,2023 tukaamkia Polisi Buguruni tukaambiwa hawajaletwa, tukazunguka vituo vya polisi karibu sita hatukufanikiwa, tukazunguka Hospitali tukaambiwa hawajaletwa, mida ya saa 8 mchana tukaambiwa kuna miili Amana ambayo imepelekwa na Polisi wakisema wameowakota Vingunguti”
Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta
…
Iko vile !!Mtanikumbuka 😂
Au hao vijana ni chadema?Baadhi ya vijana ni majambazi sugu yaliyoshindikana hivyo siku wakiingia kwenye 18 matokeo ndiyo hayo.
Kwanu walitoboa macho baada ya kufa au kabla?Sometimes unakita police ni form 4 failure.unategemea nini? Kutobolewa macho ni kuficha forensic pathology kwa sababu macho huwa yanapiga picha
30 December 2023
Dar es Salaam, Tanzania
WALINZI WA SUNGUSUNGU NA WAKAAZI WANAWAKATI MGUMU VIGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM
View: https://m.youtube.com/watch?v=RsstoP_3nYw
Wahanga wa matukio ya kinyama ya uhalifu jijini wajitokeza kutoa ushuhuda
Walinzi wa kujitolea yaani sungusungu wapigwa mapanga na panya road wahofia maisha yao hawana bima ya afya wala kupatiwa matibabu na dawa bure na serikali
Pia wakaazi wengine wajeruhiwa na mapanga, kupigwa visu na kukabwa wengine wapoteza maisha.
Hali ya maeneo ya Vingunguti jijini hali ni kama uwanja wa vita wengi wananakovu ya majeraha na kuishi kwa wasiwasi
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani
Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote
≠=============================
View: https://youtu.be/AEIYY8IyB9w?si=HYXCGwq5FXvyGN_D
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha kupelekwa kusikojulikana na baada ya Familia kuwatafuta bila mafanikio hatimaye December 28,2023 asubuhi miili yao ikafikishwa Amana Hospital na Watu waliojitambulisha ni Askari wakidai miili hiyo wameiokota.
Mzee Swalehe Kacheuka ambaye ni Baba Mzazi wa Shomari ameiambia @AyoTV_ kuwa “Babuu alikuwa anafanya kazi Kariakoo kampuni ya kuuza pikipiki, aliporudi kazini wakaja Wat waliojitambulisha ni Askari ila hawajavaa sare wakamsimamisha kwamba upo chini ya ulinzi akawauliza nimefanyaje wakawa wanabishana wakampiga risasi ya mguu, Kaka yake katoka wakamnyooshea bastola, akaja Rafiki yake Ismail wakati wanamkunja akasogea wakampiga risasi ya mguuni na wakawachukua wote wakaondoka nao, Ismail walimpakia kwenye IST, Bakari wakampakia kwenye Defender”
Kwa upande wake Mzazi wa Shemeji wa Bakari Ismail amesema “Tulipopata taarifa asubuhi December 28,2023 tukaamkia Polisi Buguruni tukaambiwa hawajaletwa, tukazunguka vituo vya polisi karibu sita hatukufanikiwa, tukazunguka Hospitali tukaambiwa hawajaletwa, mida ya saa 8 mchana tukaambiwa kuna miili Amana ambayo imepelekwa na Polisi wakisema wameowakota Vingunguti”
Familia hizo mbili zimesema miili ya Vijana hao imekutwa na matundu ya risasi na macho yao yametobelewa, Ayo TV imefanya jitihada za kulitafuta Jeshi la Polis Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo lakini hatujafanikiwa ingawa bado tunaendelea na jitihada za kuwatafuta
Nyie mnao toa lawama kwa Police, kiufupi hamjawahi kukutana na kadhia ya majambazi au Panyaroad.Historia za hao Vijana Tafadhali.
Pili hivi Kwa nini Polisi wanasikiaga Raha kutesa na kuua wengine?
Kuna Vijana kadhaa wameuwawa Kwa.kipigo Polisi Kwa makosa madogo tuu ya wizi wa vitu vya kawaida.
Sasa inakuaje wanaopiga wenzao Hadi Kufa Huwa wanajiskiaje?
Siku ukikutana na panyaroad wakakujeruhi kama hao wenzetu kwenye hiyo video clip, naamini huwezi andika haya.Inasikitisha sana uhai wa binadamu tena waTanzania wenzetu hauthaminiwi kabisa na serikali yetu pamoja pia na jamii.