Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

Kuna manusura alisema alipigwa ngumi na kudondoka chini alivyoinuka akapigwa teke,

Ukipitia maelezo ya victim wa ushenzi huu, utabaini kwamba kuna kundi la watu waovu walio kuwa wamejipanga kuzua taharuki kwenye kongamano la Mwamposa, ili watu wakanyagane, waibiwe vitu vyao na wengine wapoteze maisha - lengo hasa ni kutaka kukasirisha Dola na wananchi ili mwisho wa siku Kanisa la Mwamposa lilazimike kufungwa na yeye kufuguliwa mashtaka.
 

Spin Masters
 
Mkuu naona umekaa kwenye kiti cha Mungu. Nadhani busara ingekuwa ni kusikia kutoka kwa washiriki wenyewe kama kuna watu walivamia kutoka nje. Mambo ya kafara ni imani za kishirikina

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kauli ya RC ndiyo unaita visingizio? Lawama zote kwa Polisi, na hii ni indicator kwa Simbachawene kuwa mambo siyo ya kitoto kwenye desk lake jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ishu ni nzito maana ni mchanganyiko wa nguvu za giza against logical thinking. Kila mtu anatoa maelezo kulingana na imani yake.

Kiongozi akiwa msukule wa Mwamposa lazima atatoa hoja inayoelekea kumlinda au kumpaka rangi huku asiye na imani na mambo ya miujiza akimkandia vikali wa kuitwa mtume Tingatinga.
 
Kuna manusura alisema alipigwa ngumi na kudondoka chini alivyoinuka akapigwa teke,
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo manusura alipokea kichapo kutoka kwa nani sasa? Hakukazia jibu kweli?
 
Namba ya NIDA unayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…