Kuna manusura alisema alipigwa ngumi na kudondoka chini alivyoinuka akapigwa teke,Totally bulshit hao vijana walikufa wangapi? Au wao walikuwa wanakanyaga watu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna manusura alisema alipigwa ngumi na kudondoka chini alivyoinuka akapigwa teke,Totally bulshit hao vijana walikufa wangapi? Au wao walikuwa wanakanyaga watu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna manusura alisema alipigwa ngumi na kudondoka chini alivyoinuka akapigwa teke,
Ukipitia maelezo ya victim wa ushenzi huu, utabaini kwamba kuna kundi la watu waovu walio kuwa wamejipanga kuzua taharuki kwenye kongamano la Mwamposa, ili watu wakanyagane, waibiwe vitu vyao na wengine wapoteze maisha - lengo hasa ni kutaka kukasirisha Dola na wananchi ili mwisho wa siku Kanisa la Mwamposa lilazimike kufungwa na yeye kufuguliwa mashtaka.
Hapo ni pale "makada wanapojaribu kuteteana katika uhalifu.. ili kulegeza nguvu ya vyombo vya dola jinai ile ihalalike!"RC Kilimanjaro,
Big No
Usisahau na wa Jangwani mkuu...Watu wa lindi na mtwara nao wana nini?Kagera nako wana nini?
Mkuu naona umekaa kwenye kiti cha Mungu. Nadhani busara ingekuwa ni kusikia kutoka kwa washiriki wenyewe kama kuna watu walivamia kutoka nje. Mambo ya kafara ni imani za kishirikinaWananchi wanasema kuwa aliyetenda kafanya kafara
20 Kilimanjaro
20 Lindi ( japo haya ni Maafa ya mvua tuyaache)
Wadanganyika wanahoji mbona kama mkubwa kawa mpole Sana kwa Mwampo ; sio kawaida yake ; hata ikitokea ajali huwa anakemea hadi mawaziri kama Ilivyokua Mwigulu
Imekuwaje mauwaji ya Moshi kawa mpole hajakemea lolote hadi kwenye salaaaam za mwanzo hadi za leo za Mkuu wa mkoa
Hilo “kafara” aloenda kufanya mwampo alikua anamfanyia nani ; hata hakuona kuwa alichofanya mwampo kutoroka haikua ustaarabu? ?
Kweli hana la kukemea ? Anasema viongozi waachwe wafanye kazi zao ???!!!!!
Waliokufa hawana dhamani au damu yao ndio ilihitajika ....
Watu wakifikiria vibaya watakua wanakosea ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu una chuki sana, hebu jitafakari upyaMtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
Kwa hiyo mwamposa na selikali jiwe waliplan kuhakikisha watu 20 wanakufa on spot,Binti mmoja ambaye ni muhanga wa tukio amesema kila alipotaka kuinuka baada ya kuanguka alishtukia anapigwa makofi na kukandamizwa asiinuke!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ishu ni nzito maana ni mchanganyiko wa nguvu za giza against logical thinking. Kila mtu anatoa maelezo kulingana na imani yake.Kauli ya RC ndiyo unaita visingizio? Lawama zote kwa Polisi, na hii ni indicator kwa Simbachawene kuwa mambo siyo ya kitoto kwenye desk lake jipya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana hakuna wa mwanza?Waliokufa wametoka mikoa mitatu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara!
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo manusura alipokea kichapo kutoka kwa nani sasa? Hakukazia jibu kweli?Kuna manusura alisema alipigwa ngumi na kudondoka chini alivyoinuka akapigwa teke,
Namba ya NIDA unayo?Tume ya polisi imeleta ripoti kamili ya tukio hili? Au ndiyo tunakubali mambo yaendelee kama hakuna kilichotokea? Kama tutaendelea kuambiwa tukakanyage mafuta najitangaza mimi siyo raia wa nchi hii. Hii nchi na serikali yake msinihesabu kama raia wenu. Nyie endeleeni tu na ujinga mliouamini kuwa utawakomboa.
Inawezekana kabisa bwashee!Ukipitia maelezo ya victim wa ushenzi huu, utabaini kwamba kuna kundi la watu waovu walio kuwa wamejipanga kuzua taharuki kwenye kongamano la Mwamposa, ili watu wakanyagane, waibiwe vitu vyao na wengine wapoteze maisha - lengo hasa ni kutaka kukasirisha Dola na wananchi ili mwisho wa siku Kanisa la Mwamposa lilazimike kufungwa na yeye kufuguliwa mashtaka.
Kwani Akwilina aliuawa kwenye mkutano bwashee?!Kamati ya masaa 72. Chukulia Chadema wangesababisha maafa kwenye mikutano yao,
Hao ni wahuni wa jimboni!Kwa hiyo mwamposa na selikali jiwe waliplan kuhakikisha watu 20 wanakufa on spot,
Mwanza na mbege wapi na wapi bwashee?!