Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

Hata wao wanasali huko nadhani au ndo kulinda kura za 2020
 
Maana KAFARA ni pamoja na kuwapumbaza watu akili zao hiyo kesi hata waje mamilioni ya wanasheria bado watatolewa Knock out.
Usifanye masihara na KAFARA ya damu
Hata kule Makka wakifa uwa ni kafara..idiot
 
johnthebaptist,
Baada ya agizo analazimika kutunga jibu, TWIST and SHOUT.
Vibaka waliingilia geti gani kuiba mafuta yaliyomwagwa chini! Hivi wachaga sana njaa kiasi cha kuzoa mafuta yaliyomwagwa chini! A Doll's Country. Tunachezeshwa wanavyotaka.
 
johnthebaptist,

Mama Mghwira spoke her mind juzi jumapili, aliongea sincerely na kwa hisia sana, na waziwazi akaonesha haridhiki na aina hizo za ibada (kukanhaga mafuta n.k.) tafuteni interview yake ya jumapili kwa millard ayo.

Jana kwenye ibada kaongea kitu tofauti kabisa na kaja na story tofauti kabisa, the last paragraph tells it all


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kweli kweli. Ndio maana sitaki kusikia habari za upako. Upako atanipa Mwenyezi Mungu na sio hawa vibaka wa watu wenye shida wakidanganya kuwapa mafanikio
 
Jana ameongea shuhuda za wahanga wa tukio.....so ujumbe wake wa jana ulijaa ukweli mtupu.

Kama ulifuatilia mahojiano ya wahanga pale hospitali kuna bint alisema kila alipotaka kunyanyuka alipigwa makofi na kurudishwa chini.

Mama Mghwira ana Hofu ya Mungu!
 
Mafuta ni Roho Mtakatifu, hayo mafuta ya Mwamposa ni madudu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona umekaa kwenye kiti cha Mungu. Nadhani busara ingekuwa ni kusikia kutoka kwa washiriki wenyewe kama kuna watu walivamia kutoka nje. Mambo ya kafara ni imani za kishirikina

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ni ushirikina kuwaambia watu wakanyage mafuta wakati tuna Jina la Yesu linalopita majina yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…