Naenda kutafuta ya Rwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Mecca watu wanakufa maelfu wakiwa wanampiga mawe shetani...hiyo ajali kama nyingine tuCase closed, tuendelee na mengine
Ila ndiyo mjue huko hakuna asubuhi mnaabudu mungu asiyejulikana
Hata kule Makka wakifa uwa ni kafara..idiotMaana KAFARA ni pamoja na kuwapumbaza watu akili zao hiyo kesi hata waje mamilioni ya wanasheria bado watatolewa Knock out.
Usifanye masihara na KAFARA ya damu
Na nasikitika jamaa kakuita muumini wa mwamposa bila kujua ulimaanisha nn ktk comment yako..Mimi siyo muumini wa mtu yeyote
Wewe unasali wapi bwashee?!Hata wao wanasali huko nadhani au ndo kulinda kura za 2020
Ni kweli. Na chuki hiyo ndiyo inafanya waweze kuishi sehemu yoyote kwa amani.Mtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
Jana ameongea shuhuda za wahanga wa tukio.....so ujumbe wake wa jana ulijaa ukweli mtupu.Mama Mghwira spoke her mind juzi jumapili, aliongea sincerely na kwa hisia sana, na waziwazi akaonesha haridhiki na aina hizo za ibada (kukanhaga mafuta n.k.) tafuteni interview yake ya jumapili kwa millard ayo.
Jana kwenye ibada kaongea kitu tofauti kabisa na kaja na story tofauti kabisa, the last paragraph tells it all
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu gani?!Ndio maana watu wanahusisha hili janga na mpango wa serikali kuua soo ya makonda na USA
Hiyo ataamua DPP bwashee!
wewe unawajua watu wote hadi uulize kuwa watu gani?Watu gani?!
Mafuta ni Roho Mtakatifu, hayo mafuta ya Mwamposa ni madudu ganiUkipitia maelezo ya victim wa ushenzi huu, utabaini kwamba kuna kundi la watu waovu walio kuwa wamejipanga kuzua taharuki kwenye kongamano la Mwamposa, ili watu wakanyagane, waibiwe vitu vyao na wengine wapoteze maisha - lengo hasa ni kutaka kukasirisha Dola na wananchi ili mwisho wa siku Kanisa la Mwamposa lilazimike kufungwa na yeye kufuguliwa mashtaka.
Ni ushirikina kuwaambia watu wakanyage mafuta wakati tuna Jina la Yesu linalopita majina yoteMkuu naona umekaa kwenye kiti cha Mungu. Nadhani busara ingekuwa ni kusikia kutoka kwa washiriki wenyewe kama kuna watu walivamia kutoka nje. Mambo ya kafara ni imani za kishirikina
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kwani wewe unawajua watu wote?!wewe unawajua watu wote hadi uulize kuwa watu gani?