johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #121
Ni mafuta ya kukanyaga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mafuta ya kukanyaga!
Marko 6Ni ushirikina kuwaambia watu wakanyage mafuta wakati tuna Jina la Yesu linalopita majina yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watakuwa wachawi haswa wenye mawazo mfu hiviNdio maana watu wanahusisha hili janga na mpango wa serikali kuua soo ya makonda na USA
Waliokufa wametoka mikoa mitatu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara!
Kumbe makka nako wanakanyaga mafuta?Hata kule Makka wakifa uwa ni kafara..idiot
RC Kilimanjaro,
Big No
Unachukua mstari mmoja halafu unafanya kuwa ndio msingi wa mafundisho. Kuna tofauti kati ya kupaka mafuta na kukanyaga mafuta.Marko 6
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁷ Akawaita wale Thenashara, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu;
…
¹² Wakatoka, wakahubiri kwamba watu watubu.
¹³ Wakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawapoza.
Nimekuwekea andiko hilo ili uchunge kauli zako. Usikaririshwe, soma maandiko. Habari za Mwamposa baadaye kwanza, tuanzie hapo.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Makka wanamtupia mawe shetani bwashee!Kumbe makka nako wanakanyaga mafuta?
Eti mtu anishawishi ninunue CD za comedy? Viongozi wa nchi hii wote comedians haina haja ya CD!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lonatia mashaka. Lakini nimekwambia ya Mwamposa kando kwanza nikuone uelewa wako. Hayo ni mafungu yanayotumiwa zaidi. Nikusaidie tu kunielewa, mimi sijengi mafundisho kwa mstari mmoja. Nasoma sura nzima na kuoanisha na sura nyingine.Unachukua mstari mmoja halafu unafanya kuwa ndio msingi wa mafundisho. Kuna tofauti kati ya kupaka mafuta na kukanyaga mafuta.
Je waliokuja kukanyaga mafuta ni wagonjwa? Wagonjwa gani wanakanyagana mpaka wanakufa?
Halafu mafuta ni symbol ya Roho Mtakatifu ambaye already tunaye tangu siku ya Pentekoste, huu mbadala wa Roho Mtakatifu una umuhimu gani wakati Mungu Roho Mtakatifu yupo duniani leo?
Hili la watu kukanyagana kwenye ibada mpaka wanakufa ni jambo linalotia mashaka sana, yaani Mungu wa Mbinguni Yehova anashuhudia watu wanakufa kwenye ibada yake???? I don't take it in...honestly!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mlikuwa mnatuandaa kisaikolojia ili muweze kumuachie Mwamposa kwa kisingizio cha dhamana? Hongera mama mghwira kwa kuungana na mashetaniMkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira amesema vijana hao hawaeleweki walikuwa wanaingia uwanjani kufanya nini kwani ibada ilishamalizika, yawezekana walikuwa vibaka.
Mkuu wa mkoa amewataka vijana hao wasiofahamika hadi sasa kutubu mbele za Mungu kwani dhambi waliyoitenda ni mbaya sana.
Mama Mghwira amesema Huduma za kiimani zitaendelea kama kawaida na kwamba mikutano ya Injili kuanzia sasa itaratibiwa kwa makini na ameomba kukutana na viongozi wote wa dini mkoani humo.
Mama Mghwira amesema aliongea na Rais Magufuli leo asubuhi na kwamba Rais alimtaka kutositisha shughuli za kidini bali waweke utaratibu mzuri wa kuzimonitor.
Source: TBC
😃😃😃hii nchi inavisa sanaEti mtu anishawishi ninunue CD za comedy? Viongozi wa nchi hii wote comedians haina haja ya CD!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Totally bulshit hao vijana walikufa wangapi? Au wao walikuwa wanakanyaga watu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app