Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 434
- 1,126
mbona mnahangaika sana?Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Mashetani hayajawahi laani shetani mwenzao laana ikafika.Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
kabisa mkuu. kwa hiyo kama sio vyombo vya dola tulia anabidi akubali kuwa kuna dharura tanzania tunaelekea kuwa kama haiti kwamba raia tu wana machine guns wanaweza kuteka mtu hadharani so si salama.The gang …carying machine gun, Hand cuffs and driving Land cruiser car 😂😂😂😂😂😂! How can you tell people they are not Police
Wanasaidiaje waganga? Hapo ikapigwe Albadili nzito tu kila aliyeshiriki iondoke nayeSahivi hakuna kuwachia MUNGU waganga wa jadi watusaidie
Mumeo amekutuma uje uandike huu ujinga wako?Bibi mbona umekuja kiwepesi sana asubuhi hii ?!! [emoji1787]
Hujawahi kusikia watu wana sare za majeshi ya dola na kuwa na silaha na kupatikana hivyo ?!!
Aagh Bibi wee wa Ashdod [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mtaelewa tu wajinga nyie, Sumbawanga na Njombe hii kazi wanaiweza vizuri sn, kaeni na bunduki zenu sisi tutumie nguvu za gizaWanasaidiaje waganga?
Hawa tushughulike nao bila hurumamleta hoja mbona kama wewe ni mfuasi wa kundi hili?
Kwani awamu ya mwedandazake ilikuwaje, si ndio hawahwa!
Kabisa! Nimejisikia vibaya sana mzee wa watu yule maskini najaribu kufikiria walivokua wanamtesa na alivokua akiomba msamaha hata kwa makosa ambayo hayajui.Mtaelewa tu wajinga nyie, Sumbawanga na Njombe hii kazi wanaiweza vizuri sn, kaeni na bunduki zenu sisi tutumie nguvu za giza
Hakuna sababu ya kwenda mahamani ni kupoteza muda, dawa ni Sumbawanga na Njombe tumalizane nao na bunduki zaoKabisa! Nimejisikia vibaya sana mzee wa watu yule maskini najaribu kufikiria walivokua wanamtesa na alivokua akiomba msamaha hata kwa makosa ambayo hayajui.
mimi ningekua ndugu wa huyo mzee nisingeacha ningehakikisha wanakatika mmoja mmoja.
Hizo kazi ningeenda njombe au makete huko kule hawakopeshi unaondoa mpaka familia zao.
Hakuna kumwachia MUNGU, twende Sumbawanga na Njombe tupate kinga za uhakika na hawa watu washughulikiwe kuanzia aliyetuma mpk na bunduki zaoKwa tukio la kuuliwa Ali Kibao nawatetea polisi.Ni kundi lenye nia mbaya na nchi
Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika. Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala. Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na...www.jamiiforums.com
Wapuuzi nyie mmeamua kuwatetea wauaji!
Unadhani Mungu ni fala kama ninyi. Atawahibisha tu na mtajulikana tu.
Mungu hapendezwi na uovu mnaofanya. Fanyeni ufisadi ibeni kura ila suala la kuua mmevuka mipaka kwa Mungu.
Mtajulikana na kuachia vizazi vyenu laana
CCM ni genge la magaidi tupuDamu huacha alama, haisafishiki. Mtulie, mmezoea mnaowatupia mamba, kuna wengine vijukuu vya Mtume. Walichotaka wao, kummaliza na tindikali asijulikane, ila Mungu ni mkubwa zaidi yao. Mwili umepatikana na kutambuliwa.
Kwahiyo umemaliza kuharish.a mdomoni!Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Ndio maana tunataka wasakwe popote walipoKama genge la wahuni wanaweza kufanya chochote kwenye nchi yenye mifumo yote, tena mchana kweupe, hiyo nchi imeoza kuanzia huko juu.
Vinginevyo wenye mamlaka ni sehemu ya hilo genge la wahuni.
Sika yuko wapi Mahakama imetoa Amri atafutwe tungeanzia hapo. zTatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiriaHata kwa lisu mlisema hivihivi sativa je hawakuacha alama? Labda useme vyombo vyetu vya dola havina weledi.
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane