Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Infact najiuliza sana,Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Taarifa officially za utekaji zinatoka kwa wakati muafaka sana kutokea kwenye chama HQ, na Taarifa za vifo vya mateka pia zinatoka kwa wakati muafaka sana kwenye chama HQ...
sasa huu ni muujiza au mipango ya chama?
infoma anakua amekaa engo gani hata awe na taarafa za mwanzo na mwisho tu za utekaji?
hakuna namna anaweza kutupatia Taarifa za hapo katikati kulikuaje kweli?🤭
R I.P kamanda Ally kibao