Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Hivi mbona mnajitoa Ufahamu kiasi hiki, Akili zenu mnazipeleka wapi..!?
Taasis zenye Wledi kama unavyosema Tanzania zilishafanya Mauaji Gani mpaka ikasemwa ... Yes, Hawa Wana weledi....!
Hakuna Weledi Kwa Taasis za Tanzania, wanatumia Nguvu hawatumii Akili hata robo...!
Utasema Waliofanya Kwa Lissu ni Taasisi ama kikundi Cha Watu nje ya Mfumo rasmi.
Vipi kuhusu Kijana aliyepigwa Bunduki kichwani hapa juzi...!?
Vipi kuhusu Mwanahabari Kibanda...!?
Vipi kuhusu Doctor yule aliyekimbia Nchi baada ya Mgomo...!?
Vp kuhusu Roma....n.k
Mifano ni Mingi, unadhani Taasisi za Tanzania Zina Weledi Gani.....!?? Hazina Weledi wowote, hawatumii Akili kweye mambo Yao, na uwezo pia wa kutoacha alama hawana.....!
Hivi unaenda kumteka Roma, unamtesa, kisa anaisema Serikali kupitia Nyimbo, ni Akili au Matope...!? Huwezi kuwa unatumia Akili....!
Kama umedhamilia kweli kusimamisha Shughuri za Muziki za Roma kisa anaisema Sana Serikali (Japo kuwaza hivyo ni ujinga pia) si unaweza kutumia Taasisi za Serikali zinazowafungia Wasanii kila Uchwao.
Hakuna Kikundi Cha Watu nje ya Mfumo rasmi....!!!