Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Hawa watakuwa wanataka kumdhoofisha Rais makusudi.Wasakwe Kwa gharama yeyote Ili waseme waliowatuma.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Miongoni mwa watu wasio na weledi nchi hii ni Polisi, usijisahaulishe.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Wamefanya mauaji Yale ili kufanya kitisho kwa wengine
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Na wengine 82 tuliombiwa na Tanganyika law Society na Mwakubusi wote wakiikoso serikali nani amewateka, anawafuga, amewaua?
 
Sasa swali hilo unakosea kunirudishia mimi,mimi nilikuuliza kama lengo la utekaji ni kuwatisha wakosoaji,sasa Huyo Marehem Ally na hao uliowataja wewe mbona hawakuwa wakosoaji??
Nilitaka uone kuwa kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana, lakini ukifanya jambo fulani ambalo hata kama ni dogo likawakera wenye nafasi zao basi utashughulikiwa.

Katibu wa chadema sumbawanga ndugu Dioniz kipanya hadi sasa ni mwezi wa pili katekwa, kuna video clip aliweka hiyo ndio inasemekana iliwakera wenye nafasi zao.

Kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana. Hiyo ndio ilikua point yangu
 
Kwa Lisu mbona hatukuona ukiibuka na hoja hii? Au kule kuna weledi wowote ulitumika kwenye shambulio lile?
 
Nilitaka uone kuwa kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana, lakini ukifanya jambo fulani ambalo hata kama ni dogo likawakera wenye nafasi zao basi utashughulikiwa.

Katibu wa chadema sumbawanga ndugu Dioniz kipanya hadi sasa ni mwezi wa pili katekwa, kuna video clip aliweka hiyo ndio inasemekana iliwakera wenye nafasi zao.

Kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana. Hiyo ndio ilikua point yangu
Kama ni hivyo,kwa kuwa huyu alikuwa ni kiongozi wa chadema na inasemekana alikamatwa na polisi na kisha akapatikana akiwa amefariki basi tusubiri taarifa ya uchunguzi kutoka kwao hao polisi,keep in mind kuwa wanasiasa wana mambo mengi yanayoweza kukustaajabisha sometimes.

Tundu lisu alipopigwa RISASI Wilbroad Slaa alitoa kauli kuwa hawezi kusema chochote kwa kuwa anajua ndani ya chadema kwenyewe hakuko salama,unakumbuka??

Na,je ulitarajia mtu kama Wilbroad Slaa atoe kauli kama ile??je aliyoyasema yana ukweli au hayana ukweli??
 
Mimi sio Chadema ila ni Mtanzania sikubaliani na utekaji, utesaji, uuaji unaofanywa na hawa wahuni , serikali ya awamu ya sita wanachezea sana maisha ya Watanzania kuliko awama zote.
 
Binafsi naona haya matukio yanafanana na ni mpango wa kikundi cha watu chenye mpango wa kukichafua kikundi kingine

Haya matukio kwanzia kupotea watoto, utekaji wa watu wazima na kauli tata zinazotolewa na watu ambao wanajua nikisema hivi Sina kazi ila wanaamua kusema, yanaonesha wazi kuna kundi limejipanga kufanya haya matukio ili kumchafua mtu au kikundi fulani

Style yao ni ileile na lengo lao ni kuzua taharuki ili asakamwe mtu au kundi fulani kwa yanayoendelea.. Hakuna kinachofanyika kwa bahati mbaya
 
Waliofanya Tukio ni usalama kabisa lakni inaonekana aliewatuma amefanya sabotage ya makusudi huwez kumteka mtu Leo kesho mnamtelekeza hata watu hawajasahau. Lengo Lao ni kuamsha taharuki na chuki kwa Jamii ili serikali ichukiwe. Mama anapigwa vita na wengi ndani ya Chama hakutakiwa kuridhika na Majibu rahisi ya vyombo vya ulinzi kuwa ni Drama. Yaani hata kama ni Drama zilipaswa kukomeshwa Maana Zina lengo la kujstify kitu fulani
Wewe unawaza kama Mimi mkuu, mpaka sasa Mimi sidhani kama mama anatoa baraka kwa matukio ya namna hiyo sidhani.
Nachokiona Kuna watu washamzidi mama ujanja watu hao wako ndani ya mfumo. Kuna namna wameona udhaifu wa mama hivyo wanamchezesha sikundumbwi.

Yule mama hata kwa matendo na maneno huoni kbs kama anahusika na mambo hayo
 
Binafsi naona haya matukio yanafanana na ni mpango wa kikundi cha watu chenye mpango wa kukichafua kikundi kingine

Haya matukio kwanzia kupotea watoto, utekaji wa watu wazima na kauli tata zinazotolewa na watu ambao wanajua nikisema hivi Sina kazi ila wanaamua kusema, yanaonesha wazi kuna kundi limejipanga kufanya haya matukio ili kumchafua mtu au kikundi fulani

Style yao ni ileile na lengo lao ni kuzua taharuki ili asakamwe mtu au kundi fulani kwa yanayoendelea..
Sasa kwanini serikali isifanye mpango wa maalum wa kubaini na kutokomeza hicho kikundi? Serikali inawaacha genge wapete, wateke, watese, waue yenyewe iko kimya? Kuna serikali hapo au ni washiriki?

Kwanini tuna serikali. Serkali, mifumo kazi yake ni nini kama sio kulinda uhai na mali za watu?
 
Kama ni hivyo,kwa kuwa huyu alikuwa ni kiongozi wa chadema na inasemekana alikamatwa na polisi na kisha akapatikana akiwa amefariki basi tusubiri taarifa ya uchunguzi kutoka kwao hao polisi,keep in mind kuwa wanasiasa wana mambo mengi yanayoweza kukustaajabisha sometimes.

Tundu lisu alipopigwa RISASI Wilbroad Slaa alitoa kauli kuwa hawezi kusema chochote kwa kuwa anajua ndani ya chadema kwenyewe hakuko salama,unakumbuka??

Na,je ulitarajia mtu kama Wilbroad Slaa atoe kauli kama ile??je aliyoyasema yana ukweli au hayana ukweli??
Kaka katika hali ya kawaida tu hayo hayawezi kufanyika kwa uhuru hivyo yakapita. Ndio maana nimekuuliza ni nani mwenye nguvu zaidi ambae anaweza kumkamata sativa akaenda nae police oysterbay akamlaza siku moja hapo, kesho yake akaondoka nae hadi katavi. Huyo mtu/watu wana nguvu kuliko mamlaka?

Ni nani huyo ana nguvu ya kwenda makazi ya wabunge, akamshambulia mbunge kwa risasi mchana, hadi leo asijulikane?

Nani ana nguvu ya kumteka mo dewji bilionea namba moja east africa? Nani huyo asijulikane?

Ni nani mwenye nguvu ya kuzuia dhamana ya mahakama ya mbwana kombo? Mahakama knatoa dhamana Ila mtu/watu wanaizuia. Kama huyo mtu yupo unaijua tafsiri yake? Tafsiri yake ana nguvu kuliko serikali, je ni kweli kuna mtu ana nguvu kuliko serikali?
 
Binafsi naona haya matukio yanafanana na ni mpango wa kikundi cha watu chenye mpango wa kukichafua kikundi kingine

Haya matukio kwanzia kupotea watoto, utekaji wa watu wazima na kauli tata zinazotolewa na watu ambao wanajua nikisema hivi Sina kazi ila wanaamua kusema, yanaonesha wazi kuna kundi limejipanga kufanya haya matukio ili kumchafua mtu au kikundi fulani

Style yao ni ileile na lengo lao ni kuzua taharuki ili asakamwe mtu au kundi fulani kwa yanayoendelea.. Hakuna kinachofanyika kwa bahati mbaya
Unamaanisha kuna kikundi kina nguvu kuliko serikali?
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Upuuzi mtupu
 
Hivi mbona mnajitoa Ufahamu kiasi hiki, Akili zenu mnazipeleka wapi..!?

Taasis zenye Wledi kama unavyosema Tanzania zilishafanya Mauaji Gani mpaka ikasemwa ... Yes, Hawa Wana weledi....!

Hakuna Weledi Kwa Taasis za Tanzania, wanatumia Nguvu hawatumii Akili hata robo...!

Utasema Waliofanya Kwa Lissu ni Taasisi ama kikundi Cha Watu nje ya Mfumo rasmi.
Vipi kuhusu Kijana aliyepigwa Bunduki kichwani hapa juzi...!?
Vipi kuhusu Mwanahabari Kibanda...!?
Vipi kuhusu Doctor yule aliyekimbia Nchi baada ya Mgomo...!?
Vp kuhusu Roma....n.k

Mifano ni Mingi, unadhani Taasisi za Tanzania Zina Weledi Gani.....!?? Hazina Weledi wowote, hawatumii Akili kweye mambo Yao, na uwezo pia wa kutoacha alama hawana.....!

Hivi unaenda kumteka Roma, unamtesa, kisa anaisema Serikali kupitia Nyimbo, ni Akili au Matope...!? Huwezi kuwa unatumia Akili....!

Kama umedhamilia kweli kusimamisha Shughuri za Muziki za Roma kisa anaisema Sana Serikali (Japo kuwaza hivyo ni ujinga pia) si unaweza kutumia Taasisi za Serikali zinazowafungia Wasanii kila Uchwao.

Hakuna Kikundi Cha Watu nje ya Mfumo rasmi....!!!
 
Kaka katika hali ya kawaida tu hayo hayawezi kufanyika kwa uhuru hivyo yakapita. Ndio maana nimekuuliza ni nani mwenye nguvu zaidi ambae anaweza kumkamata sativa akaenda nae police oysterbay akamlaza siku moja hapo, kesho yake akaondoka nae hadi katavi. Huyo mtu/watu wana nguvu kuliko mamlaka?

Ni nani huyo ana nguvu ya kwenda makazi ya wabunge, akamshambulia mbunge kwa risasi mchana, hadi leo asijulikane?

Nani ana nguvu ya kumteka mo dewji bilionea namba moja east africa? Nani huyo asijulikane?

Ni nani mwenye nguvu ya kuzuia dhamana ya mahakama ya mbwana kombo? Mahakama knatoa dhamana Ila mtu/watu wanaizuia. Kama huyo mtu yupo unaijua tafsiri yake? Tafsiri yake ana nguvu kuliko serikali, je ni kweli kuna mtu ana nguvu kuliko serikali?
You have got a point,what you are saying it makes a sense.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Mkuu Chiembe nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kiukweli Jeshi la Polisi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama hawafanyi kazi kizembe hivyo, mimi nawatetea, hawa ni Green Gurd wa UVCCM maarufu CHINJACHINJA ndio wanaofanya haya mauaji na matukio ya kuteka watu hawa wapo kisiasa na kila mkoa tukianzia Dar na Arusha aidha kwa kutumwa ama kufanya wao wenyewe kwa maelekezo au mamlaka waliyopewa, na wanalindwa na wanasiasa wa ngazi za juu ndani ya chama na Serikali, wanafanya haya mauaji na utekaji, hutumia mwanya linapozuka ukinzani kati ya jeshi la Polisi na Chadema nao hufanya yao na kukaa kimya ili ionekane ni jeshi la Polisi kumbe sivyo ni uchonganishi tu, kwa hili nawatetea Jeshi la Polisi na vyombo vingine, lawama zinaelekezwa kwa Polisi kwa sababu wanashindwa kuchukua hatua na kuja na majibu yanayoridhisha, maana wao ndio wenye mamlaka ya kulinda raia na mali zao kisheria labda waseme wameshindwa jambo ambalo haliwezekani, lakini pamoja na wao kujua na yanayofanywa hawa (UVCCM) hawawezi kuchukua hatua kuogopa viongozi wa kisiasa Serikalini pamoja na chama.
 
Back
Top Bottom