Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Infact najiuliza sana,

Taarifa officially za utekaji zinatoka kwa wakati muafaka sana kutokea kwenye chama HQ, na Taarifa za vifo vya mateka pia zinatoka kwa wakati muafaka sana kwenye chama HQ...

sasa huu ni muujiza au mipango ya chama?

infoma anakua amekaa engo gani hata awe na taarafa za mwanzo na mwisho tu za utekaji?

hakuna namna anaweza kutupatia Taarifa za hapo katikati kulikuaje kweli?🤭

R I.P kamanda Ally kibao
 
Sasa litasakwa popote maana halina maslahi kwa Taifa. Laana ya damu inayomwagika haitawaacha salama wahusika wote.
 
Jaribu uone weledi wa wqkali wa kazi hizo, unakutana na vihuni vya mitaani ndio unajumuisha Tiss na Polisi wote? Usiombe wakuonyeshe weledi wao
Penda usipende, suala hili linawachafua nyote.
Usalama wenu muwapate hao wahuni ili umma ufahamu kuwa waliotenda haya mauaji siyo TISS au Polisi.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
We papai
 
Hilo genge la wahuni ndio tunahitaji wakamatwe na watuambie kiongozi wao anaowatuma ni akina nani.

Kuna genge la wahuni pia lilimpiga risasi Lisu kwenye makazi ya viongozi lakini mpaka Leo hilo genge la wahuni hakuna aliyewahi kukamatwa.

Kama tunakili tuna taasisi zenye weredi sasa hizo taasisi zinashindwaje kukamata na kuyavunja hayo magenge ya wahuni?
 
Jaribu uone weledi wa wqkali wa kazi hizo, unakutana na vihuni vya mitaani ndio unajumuisha Tiss na Polisi wote? Usiombe wakuonyeshe weledi wao
Basi huo ueledi utumike kutuletea majibu hapa, nani anaeteka na kuua watu na wafikishwe mahakamani usiwe ueledi wa kuficha maovu ya viongozi tu na sio kuisaidia jamii.
 
Hata sisi wa kawaida tunaona kuwa kundi hilo ni adui wa nchi wenye nia ya kuleta fujo.
Kwanini wamfuate kwenye gari na sio nyumbani kwake.
Hao nao waliruhusuje abiria wao ashushwe?Kama ni police wangeulizwa vitambulisho vyao na kuomba wampeleke vituo vya police vya jirani kwa usalama wa basi lao kibiashara na abiria wao.Watu wataogopa kupanda hiyo kampuni.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane

Hao professional wanaouwa kwa design kama hiyo Tanzania umewaona wapi?

Msitake kupotosha kuwalinda CCM na serikali yake. Hivi genge linaweza kufanya kazi kama hizi bila kupata faida yeyote?
 
Maswali ya kujiuliza je kigenge cha wahuni wanapata wapi hiyo nafasi ya kutamba kama hivyo kumchukua mtu ndani ya gari tena trafic akiwa naye ndani ya hilo hilo gari swali je ? Trafic alishindwa kuwatambua kama hao ni wahuni kutokana na mafunzo yake ingekuwa ni wahuni trafic angekuwa mtu wa kwanza kuwatilia mashaka na kuhoji lakini aliacha baada ya kuona ni watu wa usalama kama yeye hawakuwa genge la wahuni , asili ya binadamu hata uwe bora vipi kuna kazi utaifanya chini ya kiwango, wangekuwa kweli wahuni kweli wangeifatilia hiyo gari hadi mwisho wa safari yake ndo wamchukue kupoteza ushaidi #WAHuNi HAWANA NGUVU HiZO
 
Waliofanya Tukio ni usalama kabisa lakni inaonekana aliewatuma amefanya sabotage ya makusudi huwez kumteka mtu Leo kesho mnamtelekeza hata watu hawajasahau. Lengo Lao ni kuamsha taharuki na chuki kwa Jamii ili serikali ichukiwe. Mama anapigwa vita na wengi ndani ya Chama hakutakiwa kuridhika na Majibu rahisi ya vyombo vya ulinzi kuwa ni Drama. Yaani hata kama ni Drama zilipaswa kukomeshwa Maana Zina lengo la kujstify kitu fulani
 
Penda usipende, suala hili linawachafua nyote.
Usalama wenu muwapate hao wahuni ili umma ufahamu kuwa waliotenda haya mauaji siyo TISS au Polisi.
Ndiyo hapo watajua kwamba watanzania siyo waoga nimefuatilia hoja za watu humu wanaamini watanzania ni waoga.
Sifa tuliyonayo kwa sasa watanzania ni kwamba, katika watu 4, hapo mlipo mmoja wenu ana tatizo la afya ya akili yaani tayari vichaa wapo wengi. Kwa lugha nyepesi ukimwaga ugali tu................................................

Kila binadamu ni kichaa ukichaa humfika akikasirika sana, every one is mad and that the degree of madness is measured when angry, subirini ukichaa umfikie kila mtanzania muone kama ni wapole, mfano hai Wamasai wa ngorongoro, tena wa ngorongoro walikuwa hawakuchukia wana umoja wao. I call them opportunity seekers, (wachangamkia fursa)
 
Vyombo vyetu ni vya plastiki ndio sababu Hamza tu pale ubalozini walimaliza nazi ndo wakapata tui kidogo
 
Siasa sio mchezo mchafu, Wanasiasa ndio wachafu .
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Ingawa ni user content drive. Lakini hizi threads za kublasphemy mauaji na vifo vya Watanzania ni dalili ya heavyload na kuzidiwa kwa Admins na Mods

JF ninayoifahamu mimi, ni ile inayomtaka mtoa hoja kuleta ushahidi wa hoja nzito inayogusa maslahi ya jamii kwa kiwango kikubwa. Kinyume na hapo anakula conditional ban au life ban.

Tuna disaster ya usalama wa nchi na watu wanauawa hovyo. Halafu anakuja mtu na spinn head kwamba ni kikundi cha kihalifu na siyo wauaji weledi. Inaingia akilini kweli haya mambo?

Mshana Jr Erythrocyte Maxence Melo Pascal Mayalla
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Kinachosikitisha hadi sasa IGP na Waziri wa mambo ya ndani bado wako kwenye nafasi zao.
 
Back
Top Bottom