Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Samia Anatoa baraka na kuyabariki haya matukio. Yangekuwa yanamgusa hata kidogo angeyakemea mara moja na kuunda task force kushughulika nao. Yana baraka zake 100%.

Vitu villivyomgusa huwa anavishughulikia mara moja kama mtu akiwa maarufu, Slaa, Luvuki, Kabudi, Makonda huwa anawatoa mara moja vitu ambovyo havimgusi anaviaacha kama Loliondo, DP World, Kuuza Misitu.
 
Serikali zetu ni za kipumbavu, hata mipango ya kuua watu inapangwa kipumbavu. NI kama ilivyokuwa mauaji ya Ouko nchini Kenya, na kama ambavyo inafanywa na Rwanda, na hata ilivyokuwa inafanywa na Idd Amin, Uganda.

Tanzania ya Samia iko ktk mbinu hizo ambazo lengo lake ni kutisha watu kwa uwazi ili aachiwe nafasi yake.
 
Ni muda wa kuweka mambo wazi serikali iunde CID (Central investigation department) iwe huru iwe juu ya police,Takukuru na TISS vinginevyo rais yeyote anaweza chafuliwa jina na genge la wahuni wasiompenda then lawama zote akapewa yeye.
 
Kuna mpasuko mkubwa chamani, kama hujui kuna watu wachama wananguvu na ushawishi huko kwenye majeshi na wanayatumia kufanya huu uovu.

Kudeal na hilo kundi sio kazi ndogo kama unavyofikiria, kumbuka hilo kundi ndio lilizamisha lile jiwe kubwa mtoni, hili kundi sio la mchezo wakiamua jambo.

Hata mimi zamani nilikuwa nafikiria kama wewe kwamba ukishakuwa pale juu wewe ndio kilakitu, kumbe kuna njemba zikiamua kukuyumbisha unayumba na hata kudondoka kabisa
 
Kazi yenu ni moja ya kazi za hovyo sana. Haina huna tofauti na Mbwa;akiambiwa Kamata huyo, mbio anakamata bila hata kujiuliza kosa la huyu niliyeambiwa kumkamata ni lipi? Hajiulizi.

Kazi za Ki-Mbwa mbwa niliapa tangu nikiwa form 2 kwamba sitakuja kuzifanya. Niko zangu kijijini nauza pombe ya ulanzi na nimeridhika na maisha. Ila kazi za Mbwa hata kama Zina pesa nyingi mie NOOOO!
 
Unamaanisha kuna kikundi kina nguvu kuliko serikali?
Haya mambo yanaratibiwa chamani na hili kundi kwa kushirikiana na majeshi ya nchi ya ahadi ambayo yanautii kwa chama. Si ndani kuna nyufa hawapikiki chungu kimoja.

Ndomana unaona kuna upande unateka na kuna upande chamani unatoa kauli tata tena kwa style ileile. Haya mambo hayatokei bahati mbaya.

Ukumbuke hili kundi ndilo lilimuondoa jiwe, sio kundi la mchezo.
 
kama waliopata zero na 4 kitado cha 4 na 6 ndio walinzi wa raia na mali zao,,nini unategemea hapo?
 
Lisakwe na likamatwe na waliolituma kazi?
 
Unamaanisha tunaishi Central African republic ? A failed state isn’t?
 
Kaka umeandika nadharia ya uongo kusafisha mawazo yako.
Hakuna kundi lina nguvu kuliko serikali
 
Sasa Lyetu sisi kama wananchi tukubali utekaji, uuaji au tunafanyaje? Maoni yako. Kundi la wananchi ni ⁸kubwa kuliko kundi la CCM, watekaji, watesaji na wauaji. Najua kuna CCM wengi hawakubali huu uhuni.
 
Amefanya mwenyekiti wenu hilo liko wazi...ngoja watu wamsomee kunut ajajua hajui....policeccm wamefuata maagizo ya muajiri wa igp
 
Nakubaliana na wewe kuna kundi la kuuza nchi. Bila shaka linapewa support na USA EU kùua viongozi wote wazalendo na wananchi wanaopiganigia haki.
 
Amefanya mwenyekiti wenu hilo liko wazi...ngoja watu wamsomee kunut ajajua hajui....policeccm wamefuata maagizo ya muajiri wa igp
Wasoma vitabu hawapo siku hizi, Lissu kwa nini hajaenda msibani na hajatoa salamu za pole? Akili kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…