Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

Mkuu unataka takwimu za aina gani wakati kakuwekea kabisa na picha. Kama ni kweli sura ya utawala nchini Rwanda ipo hivi kuna shida, tena kubwa!

Mbele kuna giza kubwa!! Na kimya kingi kina mshindo! Kamwe huwezi kutatua tatizo la ukabila kwa kutumia utawala wenye sura ya kikabila namna hii, unajidanganya bure!

The great Genocide-III could be loading.........!

(Genocide-I ilikuwa 1959, Genocide-II ilikuwa 1994)

Sio jambo dogo mtu aweke jambo nyeti la namna hii hadharani bure, kuna kitu nyuma ya pazia!
 
Rwanda irudi kuwa Kingdom kwasababu ilikuwa mfumo huo kwa miaka mingi na hakukua na mauaji ya kimbari lakini Wabeleji ndio waluikuja kuleta fitina na kufunza ubaguzi.
Mkuu umeisoma historia ya Rwanda vizuri, mauaji ya Kimbari ya 1994 ni ya pili, ya kwanza ya lifanyika mwaka 1959 zaidi ya watutsi laki moja waliuawa na wahutu kutokana na mfumo huo wa kibaguzi wa kifalme.

Hizo ni takwimu rasmi!
 
Wahutu kuna kipindi uvumilivu utawashinda na kuweka uoga pembeni, hio siku ikifika watutsi watamlaani Kagame kwa haya anayofanya, kitachovunwa ni hizi mbegu za kikabila zinazopandwa na Kagame
Mkuu wahutu sio waoga ila wanasubiri timing tu! Na wakifanya wanafanya kweli! Watutsi hawasikii na hawajifunzi kabisa!!
 
If you don't see the problem, you're the problem
 
Wahutu kuna kipindi uvumilivu utawashinda na kuweka uoga pembeni, hio siku ikifika watutsi watamlaani Kagame kwa haya anayofanya, kitachovunwa ni hizi mbegu za kikabila zinazopandwa na Kagame
Subiribi kagame a dead mbona watalianzisha tuu
 
Kama mpo wengi afu mnaendeshwa na wachache basi hamna uwezo/akili za kujiendesha lazima muendeshwe.

Sawa na bongo mtu kusema viongozi wengi wajinga. Mtu mjinga hawezi kuendesha watu werevu, kama mtu mwerevu anaendeshwa na mtu mjinga, hapo mjinga zaidi ni yule anayejiona mwerevu. Mtu mwenye akili timamu hawezi kubali kuendeshwa na dereva kichaa. It's just logic.
 
Ukabila umekuwepo Africa muda wote na makabila yenye nguvu yalitawala na kukandamiza makabila mengine.
 
Attach files

Bongo mbona wapo nafasi nyeti , wabaguzi kama wale ndugu zao
 

Attachments

  • wanyarandwa.jpeg
    50 KB · Views: 11
Naanza kumuelewa mwalimu mmoja alienda kutembelea makumbusho ya yale mauaji ya 1994. Alisema Wahutu hawafurahishwi kwa maana hata miili mingi iliwekwa ni ya watutsi..

Akasema wale jamaa ni suala la muda tu wanaweza jikuta wanarudi kwenye mgogoro tena..

Ni wakati wa serikari kulitazama hili kwa upana mno na kuna haja hii issue ianze kuchukuliwa hatua mathubuti asaiv kwa kasi sana.Maana upande ule wasioelewana na PK wakisema wawashawishi hawa Wahutu shughuli itakuwa nyingine kabisa..

Ilichukua miaka 34 mauaji ya kimbari mengine kutokea katika ardhi ile ile na sasa ni miaka 30 imepita tangu mauaji ya mwisho kufanyika.PK anakazi ya ziada ya kufanya.
 
Wewe huijuhi history ya Rwanda, kwanza kwa, taarifa yako, Rwanda hakuna makabira matatu! Hao,kabila ni, moja tu, Wanyarwanda, tusi,Hutu, watwa,wote wanaongea rugha moja, tamaduni ni moja, majina yaleyale, sasa wanakuwaje ma kabila matatu? Sio sawa na mpare na mchaga, au, Mnyakyusa, na, Mnyia,au, Mhehe na Mbena,
Ni koo tu, za, wafugaji na wakulima,Watusi, walianza, kuuliwa tangu miaka ya, 1950! Wamekuwa,wakibaguliwa kwa miaka, zaidi, ya, 60!, wengine wakakimbilia uamishoni,Wakazaliana huko, mpaka walipoamua kurudi nyumbani,
Ndege ya, maraisi wa, Burundi na Rwanda, haikutunguliwa na RPF, ni, vikosi vya jeshi, la Rwanda waliokuwa hawataki mapatanisho na, usuruhishi uliokuwa, unaendelea TZ, wakaipiga ndege, ili kutengeneza sababu na kisingizio cha kuwaua Watusi, wewe ungekuwa mtusi upo uamishoni, umejipanga kuvamia nchi na kurudi nyumbani, ghafla unaona Vita imeanza na ndugu zako uliowaacha, nyumbani, wanauliwa, ungefanya nini? It was good opportunity for Kagame RPF to launch full scale war against the regime military in Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…