Idadi / Population ya Rwanda kuna makundi matatu,
Wahutu 85 %
Watutsi 14 %
Watwa 1%.
Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi kwa kuanza kuwaua watutsi, Waasi wa kitutsi waliingia vItani na hatimae wakashinda.
Baada ya mapinduzi mpaka sasa ni kama wahutu wametengwa licha ya wao kuwa wengi, Vyeo vingi vya Serikalini, Jeshini, Taasisi, n.k. wanajazana watutsi.
View attachment 2962823
View attachment 2962821
View attachment 2962814
View attachment 2962815
View attachment 2962816
View attachment 2962817
View attachment 2962818
View attachment 2962819
View attachment 2962820
View attachment 2962822
Wewe huijuhi history ya Rwanda, kwanza kwa, taarifa yako, Rwanda hakuna makabira matatu! Hao,kabila ni, moja tu, Wanyarwanda, tusi,Hutu, watwa,wote wanaongea rugha moja, tamaduni ni moja, majina yaleyale, sasa wanakuwaje ma kabila matatu? Sio sawa na mpare na mchaga, au, Mnyakyusa, na, Mnyia,au, Mhehe na Mbena,
Ni koo tu, za, wafugaji na wakulima,Watusi, walianza, kuuliwa tangu miaka ya, 1950! Wamekuwa,wakibaguliwa kwa miaka, zaidi, ya, 60!, wengine wakakimbilia uamishoni,Wakazaliana huko, mpaka walipoamua kurudi nyumbani,
Ndege ya, maraisi wa, Burundi na Rwanda, haikutunguliwa na RPF, ni, vikosi vya jeshi, la Rwanda waliokuwa hawataki mapatanisho na, usuruhishi uliokuwa, unaendelea TZ, wakaipiga ndege, ili kutengeneza sababu na kisingizio cha kuwaua Watusi, wewe ungekuwa mtusi upo uamishoni, umejipanga kuvamia nchi na kurudi nyumbani, ghafla unaona Vita imeanza na ndugu zako uliowaacha, nyumbani, wanauliwa, ungefanya nini? It was good opportunity for Kagame RPF to launch full scale war against the regime military in Rwanda.