Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

unajua watusi waliwezaje kuchukua umwami wakati wao walikua minority??
Fatilia historia
we unajua kuanzia ukoloni
Kwasababu walikuwa ni Matajiri wa Mifugo na kwasababu kipindi hicho kulikuwa hakuna Pesa Watutsi waliweza kutawala Makabila mengine kutokana na utajiri wao.
 
Kwasababu walikuwa ni Matajiri wa Mifugo na kwasababu kipindi hicho kulikuwa hakuna Pesa Watutsi waliweza kutawala Makabila mengine kutokana na utajiri wao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mkuu excuse meπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
uko serious!!
unaeza toka hapa unde na uko wakoo mkawatawale masai kisa tu una utajiri??
Haileti sense !!
akamq hujui jifunze mkuu usiwe muoga kuachilia kitu ulichokishika kimakosa
 
Mtutsi ndio Mtu wa kwanza kuingia na Ng'ombe kwenye eneo hilo Imagine Makabila mengine yalikuwa hayajawahi kuona Ng'ombe katika maisha yao.

Ndio maana hadi leo hizo Ng'ombe zinaitwa Ankole Tutsi.
 
Watu mnapaswa kufurahia usalama ndani ya Rwanda kuliko kuomba yale ya 1994 kujirudia.Rwanda kwa sasa haina mambo ya wahutu,watutsi wala Watwa.

Hizi jamii zimeingiliana sana na uzuri wa Kagame ukileta habari za uhutu,ututsi na utwa,tambua kwamba hakuachi salama na hii imesaidia sana.
 
N
Nyie wanahabari ndio mnachochea hayo mambo mbona wenyewe wanaishi vizur na wamerizika
 
Rwanda irudi kuwa Kingdom kwasababu ilikuwa mfumo huo kwa miaka mingi na hakukua na mauaji ya kimbari lakini Wabeleji ndio waluikuja kuleta fitina na kufunza ubaguzi.
Sio waarabu kweli maana wale ni shida kila walipo sindio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…