imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwasababu walikuwa ni Matajiri wa Mifugo na kwasababu kipindi hicho kulikuwa hakuna Pesa Watutsi waliweza kutawala Makabila mengine kutokana na utajiri wao.unajua watusi waliwezaje kuchukua umwami wakati wao walikua minority??
Fatilia historia
we unajua kuanzia ukoloni