Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Na pia rekebisha kichwa cha habari,hayo si mauaji ya kutisha,mauaji ya Kanyanabo kama sikosei yalitokea Shinyanga ndio yalikuwa hatari maana mpaka vitoto vidogo vilipigwa mapanga kama sehemu ya kulipiza kisasi,tafuta kuna Uzi humu unaoelezea yale mauaji
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Inaonekana hiyo kata Watu wote wanajua sababu ya mauaji hayo ambayo wewe umeamua kutuficha humu.
Hapo mwanga kuna serikali za mitaa, kuna Diwani.
Haya kuna wanamtaa kama wanamtaa.

Hiyo bibi hayupo kwenye jumuiya za kidini kama Uislamu au Ukristo?

Sio rahisi mtu wa mbali asaidie jambo lililoacha maswali mengi kama ulivyoelezea.

Alafu wewe unataka Watu wapige hizo namba ulizosema niza waganga.

Toa maelezo yanayojitosheleza na jitihada mlizozifanya. Ili Watu wajue wanasaidia vipi.

0. Kabla ya tukio nini kilikuwa kinaendelea
1. Chanzo cha mauaji
2. Mgogoro ulikuwa baina ya nani na nani?
3. Mazingira na wakati tukio linafanyika?
4. Washukiwa ni kina nani na kwa nini?
5. Hatua mlizochukua katika kufuatilia jambo hilo.

Inaonekana nawe unaogopa labda kutokana na Unawajua wahusika.
Sasa humu JF unatumia Fake ID bado unaogopa kuweka mambo wazi ili upate msaada wa haraka?
Anakera kweli kila anachoulizwa yeye kupest namba za wahanga tu pumbavu zake
 
Mkuu nasikitika kukuambia mpaka Sasa hv hakuna simu yoyote wahanga wamepigiwa na mamlaka!!! Sio Mkuu wa mkoa, wilaya, OCD, Usalama, wala nani! Ama kweli tusiokua na channel tunakufa kama kuku Mkuu....
Mkuu kwa Tanzania wao ndiyo wanatakiwa wa-push. Kama wamekaa wanasubiri kupigiwa simu watasubiri bila chochote kutokea. Kwa nini wasitoka waliko waende kuonana na hao viongozi? Waombe na waandishi waandike na kurekodi masaibu yao. Au waombe msaada kutoka kituo cha kutoa msaada wa sheria. Bila wao kuchakarika ni bure.
 
Back
Top Bottom