Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Great!!!
 
Ngorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi

Hebu tuwekee picha hayo magorofa na nyumba za bati la misauzi zilizojengwa hifadhini!? Na kama zipo unataka kuaninisha kwamba mfugaji wa kimaasai anajenga hayo magorofa na kuishi humo?

Narudia kusema watz tupo manipulated na siasa za kijinga na kipumbavu zisizojali utu wa mwanadamu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hawaja kosea jamii zingine kusema SISI AFRICA watu weusi tuna low IQ ukilinganisha na jamii zingine.

Ukiangalia hawa wa MASAI utajiri walio nao wa mifugo na ukiangalia maisha wanayo ishi kama Ndege wanarandaranda tu huku na kule unajiuliza sisi watu WEUSI tulikosa nini Kwa M/MUNGU naweza kusema IN GENERAL JAMII YOTE YA WAFUGAJI WANAMATATIZO ya kiakili baado wapo kwenye maisha ya STONE AGE.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Muhimu sanaa hii nikweli hakuna binadamu ambaye akieleweshwa anashindwa kuelewa
Yafaa kuhamishwa ilikutoa faida pande zote mbilii wakae chini wajadilii wafikie muhafaka walimalize hilo kwa maslahi ya pande zote mbili
 
Attack Serikali ..Kitenge is nothing utitiri wa NGOs Ololosokwani.....Kiruswa kapewa uwaziri....Yule dada yenu Manda mgogoro wa Thomson Safari....and Beyond kufufurushwa kwa mwarabu...Manongi kusimamia sheria bila kusikiliza majungu ya Wamasai na Wairaq.....kusomeshwa sheria eti kulinda Ardhi yetu

ONYO Ardhi ya Tanzania sio mali ya Kikundi au Kabila flani kujiona SPESHO

Niko jikoni UNESCO nausoma mchezo na kujuwa mshindi ni nani....
 
Ile population growth ya mule ndani siyo ya wale original tu… wameongezeka wahamiaji
 
Wewe unaamini kuwa tajiri uishi kwenye ghorofa ya kupanga ulaya au!?
Umewazidi nini na kuishi kwako mjini zaidi ya fujo na moshi wa magari?
Ajabu ni kwamba hakuna omba omba huko lakini mjini utawakuta tele.
 
Kosa la Kitenge sijaliona, athari za mazingira lazima zitunzwe
 
Njia za kuwaondoa ziainishwe kwa uwazi, Sheria hizihizi mbovu wanazitumia baadhi kwa maslahi ya watu fulani.

Hivi umezungumzia kundi (jamii ya kimaasai kijiona special) bila kujua kuna kundi pia lenye nguvu ya kipesa na kimamlaka kujiona special zaid na halishindwi kwa chochote..somebody gonna die

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Kwani kipi bora kati ya wanyama na mwanadamu? Mungu aliumba mwanadamu alisi nchi sio wanyama.
 
Tatizo lenu mnahujumiana mtafute Kimai na wale jamaa wa Pingos ..Maa ..mtaalam Mande..

Mwalimu Manongi mtamlaumu bure tu ..Kilindi kuna maeneo mengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…