Maulid Kitenge wa E-FM amvaa Mwigulu kuhusu Deni la Taifa. Maswali ni mengi kuliko majibu, kulikoni?

We mwigulu sperm umekuja na huku
 
Kumekucha !! Tusubiri tuone !!
 
Kukopa fedha nje ya nchi sio jambo ambalo ni Tanzania ya leo imelinza, ukopaji na ulipaji ndio mfumo wa kidunia.
Mfano, - barabara ya uhuru, ilikopewa fedha mwaka 1963 ikajengwa deni lake lilikuja kuisha mwaka 2020,ndipo tulipomaliza kulilipa, short and clear, ukopaji kwa miradi ya kimkakati ni jambo jema, kwani upo wakati miradi hiyo haitahitaji fedha tena na kazi yake ulitakuwa ni kulipa tu madeni,huku ikifaidisha umma wa watanzania.
Posibly yupo shetani nyuma ya hawa waropokaji walioibuka anayejaribu kutengeneza mizengwe ovu, na kuichonganisha serekali na umma, nataka niwaambie rais ni #SSH, mpaka 2030.
 
Maulid Kitenge o level nasikia alipata ziro
 
kuna clip nimemsikia ndugai akilalama tunatumia trilioni 10 kulipa hayo madeni........
yeye mwenyewe amechangia pakubwa kwani alipotumia bilioni mbili za matibabu yake na alipohojiwa na CAG akang'aka alidhani hizo fedha zinatoka wapi?
Awache unafiki
 
Watu Wana Ajenda fulani ovu,kwa hiyo maelezo aliyotoa Mwigulu wiki mbilinzilizopita hayaeleweki au inakuaje?

Wakati Mwigulu anatoa maelezo ya Deni clouds hao kina Kitenge walikuwa wapi?

Mwigulu wapuuze hao wajinga achana nao 👇
 
Maulid Kitenge ni Sukuma Gang naye. Ahamie Burundi kama hataki serikali ikope na kuchukua tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…