Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hahaha na iyo ndio raha ya kazi. Raha ya kazi ni kuulizia mshahara unatoka lini ππBasi msiwe mnauliziaulizia sana mishahara jamani kha kwani mnaotoa picha mbaya sana kwamba mnafanya kazi kwa kujilazimisha tu na sio kwa wito kama ulivyosema na hiyo mishahara mnayolipwa ni kiduchu sana haiwezi kuwatosheleza kwa mwezi mzima.
Any way poleni nawaonea huruma jamani mnavyolalamikalalamika kuulizia mishahara.
Nakumbuka nilivyokuwaga muajiriwa mshahara wangu nilikuwa nautumia kukopea benki na kufanya uwekezaji tu nilikuwa sina time na mshahara kwa kweli.
Nawashaurini kopeni kwenye mabenki mfanye biashara muwe mnaingiza kipato kingine.
Naamini kabisa katika mazingira unayoishi huwezi shindwa kubuni biashara yeyote , jaribuni hata biashara ya bodaboda huwezi kosa kijana mwaminifu wa kufanya hiyo kazi.
Na pia jitahidini kuishi maisha ya kujibana ya kujinyima vitu ambavyo sio vya msingi ili kupunguza matumizi yasiyokuwa na ulazima.
Nawashauri msome kitabu kinaitwa the richest man in babylon na uzifanyie kazi theory zake, nyingi ni simple na zipo kiuhalisia kabisa na maisha yetu ya kila siku.
Nyie ndio injini ya Serikali mnapokuwa na malalamiko madogomadogo haya ya kulalamikia mishahara kuchelewa wakati mwisho wa mwezi haujafika mnatia mashaka kwa sisi wananchi wa kawaida kwamba injini ya serikali yetu haipo sawa.
Eeh Mungu Baba Mwenyezi liangalie kundi hili la hawa watumishi wa umma wanaouliziaulizia mishahara kabla ya mwisho wa mwezi na kwa jinsi itakavyoona inafaa waondokane na kero hii .Amina
Ndo hao hao na wenzao wenye vibaa πLabda unasema wauza mchele na mbogamboga sokoni
Hiyo bajeti anaipangaje bila kuwa na mshahara mkononi, kuuliza kwao hakumaanishi hawajui bajeti.Basi msiwe mnauliziaulizia sana mishahara jamani kha kwani mnaotoa picha mbaya sana kwamba mnafanya kazi kwa kujilazimisha tu na sio kwa wito kama ulivyosema na hiyo mishahara mnayolipwa ni kiduchu sana haiwezi kuwatosheleza kwa mwezi mzima.
Any way poleni nawaonea huruma jamani mnavyolalamikalalamika kuulizia mishahara.
Nakumbuka nilivyokuwaga muajiriwa mshahara wangu nilikuwa nautumia kukopea benki na kufanya uwekezaji tu nilikuwa sina time na mshahara kwa kweli.
Nawashaurini kopeni kwenye mabenki mfanye biashara muwe mnaingiza kipato kingine.
Naamini kabisa katika mazingira unayoishi huwezi shindwa kubuni biashara yeyote , jaribuni hata biashara ya bodaboda huwezi kosa kijana mwaminifu wa kufanya hiyo kazi.
Na pia jitahidini kuishi maisha ya kujibana ya kujinyima vitu ambavyo sio vya msingi ili kupunguza matumizi yasiyokuwa na ulazima.
Nawashauri msome kitabu kinaitwa the richest man in babylon na uzifanyie kazi theory zake, nyingi ni simple na zipo kiuhalisia kabisa na maisha yetu ya kila siku.
Nyie ndio injini ya Serikali mnapokuwa na malalamiko madogomadogo haya ya kulalamikia mishahara kuchelewa wakati mwisho wa mwezi haujafika mnatia mashaka kwa sisi wananchi wa kawaida kwamba injini ya serikali yetu haipo sawa.
Eeh Mungu Baba Mwenyezi liangalie kundi hili la hawa watumishi wa umma wanaouliziaulizia mishahara kabla ya mwisho wa mwezi na kwa jinsi itakavyoona inafaa waondokane na kero hii .Amina
Wapo waliopata nyongezaUkiangalia salary slip kwenye ESSS watumishi utaona kua nyongeza ya mshahara hakuna kwa kila mtu.
Tajiri wa nyuma ya keyboard unaewananga maskini wa akili yako.Wewe endelea kulialia mshahara haujaingia badala ya kutafuta vyanzo vingine vya mapato
Kwani inakatazwa kuedit?
Wewe maisha yako yakoje mkuuWatumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Lazima waambiwe ukweli, hamna mwenye hati miliki ya nyuzi ndgu.Waache Watumishi na nyuzi zao, fuatilia nyuzi zingine Chief
Acha uongoESS watumishi imeshatia salary slip kwa mwezi huu wa saba hivyo muda wowote mambo safi.
Huyo mkausha damu ukipata mshahara na yeye analo fungu lake kwa asilimia kadhaa πππππSasa hii ni nyongeza au mshahara wenyewe?π
Ungejua wanavyopiga hela za miradi ungekua mpole.Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Hio nauli si Bora tu angetoa kwa simu mbona gharama ni chini kuliko hio nauliHhaha kuna watu wako vijijini uko asije akala nauli yake ya elfu 20 kwenda ATM na akakuta mshahara bado ni vyema apewe updates.
Kila mmoja akifanya biashara au kilimo nani atakuhudumieni huko maofisiniWatumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Jibu zuri sanaUtumishi wa umma ni wito na sie tuko tayari kukuhudumia muda wowote bila kujali njaa zetu.
Kimenikaaaaa eeeeeehuuuuuu angalau tulipe madeniHabari za jioni,
Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma.
Ahsanteni.
Teyari?Kimenikaaaaa eeeeeehuuuuuu angalau tulipe madeni