Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?

Uto angalieni msipitishe tena mabakuli
 
Hii habari bora ibakie tu kuwa tetesi. Ikiwa kweli, aisee kutatokea msuguano mkali sana kati ya mashabiki wa mtaa wa pili na uongozi wao pale timu yao itakapo pata sare, au kupokea kichapo.
 
Kila mchezaji anayetakiwa na simba mnamtaka nyie acheni tamaa VINYESI nyie chukueni wote tukutane caf
 
makolo mnajipa presha bure,Yanga jambo lao wala haliusiani na usajili,nikuzindueni kama ingekua usajili basi wangefanya usiku sio saa 6 mchana
 
Wewe ni uto
 
Akisajaliwa manzok utopolo niite mbwa nimekaa pale [emoji849][emoji849]
 
Wewe ni uto
Na hili la kutopendana wenyewe kwa wenyewe ndio linatuangusha Sana. Utamuitaje mwenzio uto?
Wale MABINGWA Yanga hata wakutane wapi, mmoja akishaona mwenzie kavaa zile jezi zao utawaona wanatabasamu. Simba tujiongeze na tucheze mpira tuache kutegemea kuhonga waamuzi.
 
Simba kafika robo fainal CAF zote hzo kahonga waamuzi aisee acha tozo ziongezeke tu
 
Simba kafika robo fainal CAF zote hzo kahonga waamuzi aisee acha tozo ziongezeke tu
Simba ile sio Simba hii. Sasa hivi club inaporomoka tu. Tusipoangalia tutacheza kwenye ligi za kina African sports au hata ndondo cup.
 
Watu waliokosa hela za kwenda kambi uturuki kwa kumsajili aziz ki ndo wawe na pesa za kumlipa manzoki ila yanga kwa uongo maana walisema phiri pia wamemalizana nae kumbe walikuwa wanawateka mashabiki wake wasiojielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…