Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

Ina maana gharama za kutoa pesa Kama mpesa zitaongezeka ?


Hii nchi mbona ngumu Sana lini tutakuwa na unafuu wa maisha ?
Siku CCM ikitolewa madarakani. Iwe ni kwa kupitia sanduku la kura au hata kwa kutumia jeshi au nguvu ya umma.
 
Nadhani hujaelewa chochote kwenye bajeti ile.
 
Watu watumie bank gharama ni ndogo kuliko za simu
Utasemaje gharama za benki ni ndogo wakati sasa wanataka kutoza kodi unapoweka na unapotoa fedha benki? Na pia gharama za uendeshaji benki zinapoongezeka , gharama hizo zinaongeza charges ambazo benki wanawatoza wateja wao!!! So good for financial inclusion!!!
 
Mtoa mada hajaelewa zaidi ya kulalamika tu.
Wabongo ni washamba na wapumbavu. Kila kitu ni kulalamika tu. Kenya wenzetu bajeti yao iko 78 TRILLION ni kwa sababu wamepanua wigo wa kodi. Sisi tunaanza kutanua watu wanaanza lalama. Wapumbavu na malofa.

Bajeti ya bongo haina vyanzo vipya vya kodi hivyo huwezi kusema mnatanua wigo!!! Manaongeza kodi tu kwenye vyanzo vile vile nya siku zote:- pombe, Simu, sigara, petrol basi hakuna wigo mliopanua !!! Halafu kodi yenyewe percentage kuwa inakwenda kwenye matumizi ya kawaida ya mishahara na posho badala ya kuwa kwenye maendeleo!!
 
Mafuta ya taa ndio yameongezwa kodi mkuu, pombe imeshuka kodi, kwenye kubeti kumeshuswa mpka 15%, kodi ya jengo imerahisishwa na hii itapelekea watu wengi kulipa hii kodi bila kuhisi maumivu kwa miaka ya karibuni hii ndio bajeti nafuu.
 
Mafuta ya taa ndio yameongezwa kodi mkuu, pombe imeshuka kodi, kwenye kubeti kumeshuswa mpka 15%, kodi ya jengo imerahisishwa na hii itapelekea watu wengi kulipa hii kodi bila kuhisi maumivu kwa miaka ya karibuni hii ndio bajeti nafuu.

Kwanini ushushe kodi kwenye kamali halafu upandishe kwenye miamala ya simu na benki? Hapo kuna walakini!!
Hawa wenye hii michezo ya Kamari [ Betting na Casinos] wanavuna mabillion ya shilling kila siku na hizo fecha zinatoroshwa kwenda nje!!!! Eneo hili serikali iliangalie kwa karibu sana.
 
Kwanini ushushe kodi kwenye kamali halafu upandishe kwenye miamala ya simu na benki? Hapo kuna walakini!!
Hata mimi hilo mim nashangaa sana,kuna umuhimu gani wa kumpunguzia mcheza kamari kodi? Kwa mujib wa waziri ni kuwa mcheza kamari ni muhimu zaidi kuliko mawasiliano?
 
Kuna tozo kwenye petrol, Boda Boda wanashangilia kupunguziwa faini ambayo alikuwa hailipi kila siku, anasahau ongezeko la shilingi Mia moja Kwa kila Lita ya mafuta, ambapo kila Lita tano kuna ongezeko la shilingi Mia tano, endapo kila siku atajaza Lita tano kwenye pikipiki yake Kwa siku thelathini ni elfu 15, hii gharama bodaboda atairudisha Kwa abiria, huyu ndo Yule Yule ambaye ni mpangaji atakayelazimika kulipa Kodi ya jengo kupitia matumizi ya Luku, hii ni tofauti na Kodi ya chumba. Huyu ndo anakatwa shilingi 10 kila siku toka kwenye line yake, maumivu
 
Tutaiona nchi ya ahadi siku CCM iking'olewa !!
 
faini ya bodaboda itaongeza bei kwenye usafiri wa boda, tunarudi kwenye baiskeli
 
Mama asipoingilia huenda JPM akakumbukwa hasa na wale wananchi wa kawaida,aliozoea kuwaita wanyonge
Kama unadhani wamemsahau JPM basi ww utakuwa unaishi NY ama oysterbay mzee ..no one like JPM
 
Mapato Haramu
 
Hivi kwann sijawahi sikia swala la ruzuku katika biashara ya mafuta.
 
Kama unadhani wamemsahau JPM basi ww utakuwa unaishi NY ama oysterbay mzee ..no one like JPM
Shida ya JPM aliendana na wanyonge na kuwachukia wafanyabishara,akawa na bifu nao. Huyu mama kaleta usawa ila kama bajeti zitabana hivi basi huenda akaanza kupiteza mvuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…