Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

alafu kuna watu wanazungusha viuno wanasherekea eti bia itapungua bei 🤣 🤣 🤣
 
Duh, sasa mbona wanatuzidishia mizigo kila siku
Vat 18% imekua not enough kwao? Mpka tuanze kulipia laini kila siku.
 
Nchi ya Zanzibar bajeti yake poa sana kwani inawajari wananchi na wanashangilia kodi zimepunguzwa!!!
Ninavo amini,siku Zanzibar kujitegemea itakuwa kwa haraka sana huenda hata ikatupita kila kitu
 
Mnadhiri wa Mungu, alituonya kuwa haya yatakuja kutokea akiondolewa, tukampuuza.
 
Huyu mama hapo kwenye Kodi ya mihamala na Kodi ya laini anaenda kuchukiwa vibaya mno na wananchi wa kawaida ,yaan wamekaa wemeshindwa kuangalia angle nyingine had wakaja huku ambako kila mtu anaona wazwaz kuwa ananyongwa mchana kweupe, nilianza kuwa na iman nae ila kwa hili atapata wakat mgumu sana hasa kama ana nia mwaka 2025
☝️100%
 
Bajeti ya serikali

Bia za shuka Bei
Ushuru wa mililita 1000 kutoka 720 Hadi 620

Yaan bia kama safari , Kilimanjaro nk zitauzwa 1500

Na hizi Serengeti ndogo Ni Buku tuu

Niseme nn bwana
Niseme nn bwana
Bali ninashukuru

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Dah nimecheka sana aisee Jf hakika ni zaidi ya kisima cha burudani
 
Back
Top Bottom